Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita.
Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na
Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu kila wakati mwenye kutabasamu na kucheka tofauti na mwanasiasa mengine yoyote.