Maalim Seif mwongo sana

Maalim Seif mwongo sana

Juzi wakati wa mkutano wa UKAWA alisimama na kusema kuwa hawana tatizo na mwenyekiti wa CUF bara na kusema wako pamoja katika suala la UKAWA kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu ila leo PROFESA LIPUMBA kaweka msimamo wake wazi na kusema haungi mkono suala hilo zaidi anachotambua yeye ni ule umoja wa katiba ya wananchi sio huu uliomteua fisadi Lowassa.

Hivi CHADEMA na CUF mnatuchezea watanzania eeee alianza Dkt Slaa amefuata Prof Lipumba tutawatoa kapa agosti kwa huu mchezo mchafu

Siku Zote Wajinga Ndiyo Waliwao!
 
Kumbe hata lipumba anayo maamuzi magumu
Sio tu lowassa
 
Juzi wakati wa mkutano wa UKAWA alisimama na kusema kuwa hawana tatizo na mwenyekiti wa CUF bara na kusema wako pamoja katika suala la UKAWA kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu ila leo PROFESA LIPUMBA kaweka msimamo wake wazi na kusema haungi mkono suala hilo zaidi anachotambua yeye ni ule umoja wa katiba ya wananchi sio huu uliomteua fisadi Lowassa.

Hivi CHADEMA na CUF mnatuchezea watanzania eeee alianza Dkt Slaa amefuata Prof Lipumba tutawatoa kapa agosti kwa huu mchezo mchafu
Sasa UONGO wa Maalim Seif ni nini kama Mwenyekiti wake hakumwambia kitu wako poa then baada ya cku mbili akajiuzulu. Seif afanye nn. Rushwa ni mbaya unajua pesa alizopewa Lipumba ni ndefu. C pesa Ndogo mpaka linakuwa saliti wenzake
 
prof na slaa ni mawakala wa ccm kwa muda mrefu sana. mbaya zaidi, walitaka wao ndo wawe wagombea wkt uwezo hawana.

prof hataki slaa awe na slaa hataki prof awe, kila mtu anajiona ni mwamba kumzidi mwenzake. dawa ni kusajili nje yao wote, ndio maana akawa Lowasa.

wapumzike, kazi waliyoifanya tutaikumbuka daima

unajichanganya mno.

JARIBU KUTULIA MKUU.
 
Huyu jamaa anahitaji kupumzika miaka 16 mkt kwabi cuf ni familia yake
 
prof na slaa ni mawakala wa ccm kwa muda mrefu sana. mbaya zaidi, walitaka wao ndo wawe wagombea wkt uwezo hawana.

prof hataki slaa awe na slaa hataki prof awe, kila mtu anajiona ni mwamba kumzidi mwenzake. dawa ni kusajili nje yao wote, ndio maana akawa Lowasa.

wapumzike, kazi waliyoifanya tutaikumbuka daima

Wewe ni mpumbavu zaidi ya upumbavu. Slaa ndiye aliwajaza wabunge wa Chadema bungeni kufikia karibu themanini na wakati wa Mbowe alipogombea urais alipata wabunge chini ya kumi,halafu unasema Slaa na Pr. Lipumba hana uwezo? Pumbavu kabisa.
 
Huyu jamaa anahitaji kupumzika miaka 16 mkt kwabi cuf ni familia yake
 
Sasa UONGO wa Maalim Seif ni nini kama Mwenyekiti wake hakumwambia kitu wako poa then baada ya cku mbili akajiuzulu. Seif afanye nn. Rushwa ni mbaya unajua pesa alizopewa Lipumba ni ndefu. C pesa Ndogo mpaka linakuwa saliti wenzake

Barua aliiwasilisha tarehe 1 August.
 
tumeoneshwa rangi zao halisi mapema sana.

Nadhani ni muda wa kutulia kwanza na kujipanga, kipo chama kitakuja kikiwa na wakombozi wa kweli na wenye nia ya mageuzi na sio mkwanja
 
Sana aiseee yaani mm nimewatoa nje ya mstariiii..CCM oyeee

Ukishabikia Tu CCM Lazima Utakuwa Na AKILI SAHIHI, TIMILIFU, NZURI Na UNAJIELEWA. Sijaipenda au Siipendi CCM Bure Hakika Ni Chama KINACHOHITAJIKA Na Watanzania Kwa USTAWI Wa MAENDELEO Yao. Anayeichukia CCM Itabidi AKACHUNGUZWE UBONGO Wake Kwa UMAKINI MKUBWA. Kwangu Mimi CCM Ni Baba Na Mama Yangu.
 
Ila namshangaa sana prof.je leo ndo anajua kuwa waliungana kwa ajil ya katiba na s kugombea uongoz, je mgao wa majimbo j
 
WanaCUF wamesema wanajua anatumiwa!HV muda wote alikuwa wapi?Mbona alimkaribisha lowasa,Leo atatuaminisha VP kama hajapewa mlungula?Amejidhalilisha sana,hata wazee ameshindwa kuwasikiliza,pesa so mchezo!Imenunua utu wa Lipumba!
 
Lipumba ndo alikuwa mstari wa mbele kumsafisha Lowassa .... Baada ya kumegewa za ESCROW leo amegeuka 100% ... Aende zake .... CCM must go ....

Juzi wakati wa mkutano wa UKAWA alisimama na kusema kuwa hawana tatizo na mwenyekiti wa CUF bara na kusema wako pamoja katika suala la UKAWA kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu ila leo PROFESA LIPUMBA kaweka msimamo wake wazi na kusema haungi mkono suala hilo zaidi anachotambua yeye ni ule umoja wa katiba ya wananchi sio huu uliomteua fisadi Lowassa.

Hivi CHADEMA na CUF mnatuchezea watanzania eeee alianza Dkt Slaa amefuata Prof Lipumba tutawatoa kapa agosti kwa huu mchezo mchafu
 
Ulitaka aseme kuna tatizo wakati yeye hakuona kama kuna tatizo?. Alisema hajapewa barua ya kuniuzuru na alikuwa nae hadi usku saa nne.
 
GAZETI ilo ndio neno nalikubali na ndio misimamo yetu wapenda mageuzi.
 
Ukishabikia Tu CCM Lazima Utakuwa Na AKILI SAHIHI, TIMILIFU, NZURI Na UNAJIELEWA. Sijaipenda au Siipendi CCM Bure Hakika Ni Chama KINACHOHITAJIKA Na Watanzania Kwa USTAWI Wa MAENDELEO Yao. Anayeichukia CCM Itabidi AKACHUNGUZWE UBONGO Wake Kwa UMAKINI MKUBWA. Kwangu Mimi CCM Ni Bab
a Na Mama Yangu.
Huu ni mtazamo wako mkuu! Kawaida sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom