Maalim Seif mwongo sana

Maalim Seif mwongo sana

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
Juzi wakati wa mkutano wa UKAWA alisimama na kusema kuwa hawana tatizo na mwenyekiti wa CUF bara na kusema wako pamoja katika suala la UKAWA kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu ila leo PROFESA LIPUMBA kaweka msimamo wake wazi na kusema haungi mkono suala hilo zaidi anachotambua yeye ni ule umoja wa katiba ya wananchi sio huu uliomteua fisadi Lowassa.

Hivi CHADEMA na CUF mnatuchezea watanzania eeee alianza Dkt Slaa amefuata Prof Lipumba tutawatoa kapa agosti kwa huu mchezo mchafu
 
Sasa kama mwenzake kapewa hela kwa siri yeye atajuaje,umesahau jana Lipumba huyo huyo alikanusha kujiuzulu?
 
prof na slaa ni mawakala wa ccm kwa muda mrefu sana. mbaya zaidi, walitaka wao ndo wawe wagombea wkt uwezo hawana.

prof hataki slaa awe na slaa hataki prof awe, kila mtu anajiona ni mwamba kumzidi mwenzake. dawa ni kusajili nje yao wote, ndio maana akawa Lowasa.

wapumzike, kazi waliyoifanya tutaikumbuka daima
 
Sasa kama mwenzake kapewa hela kwa siri yeye atajuaje,umesahau jana Lipumba huyo huyo alikanusha kujiuzulu?

We nae umetoka wapi jana wala hakuongea hayo uliyosema cha zaidi alisema ameahirisha mkutano suprisenly kaufanya leo.....ingieni michuzi msikie alichosema ndio mtaelewa kuna ishu kubwa sana behind the scene...haiwezekani DKT... na PROF...wachukue maamuzi kama haya....
 
lipimba kagombea toka 95 anashidwa kwa kishindo hata aibu haoni mm naona kijitoa kwake cuf ndo kuifanya cuf iendelee
 
prof na slaa ni mawakala wa ccm kwa muda mrefu sana. mbaya zaidi, walitaka wao ndo wawe wagombea wkt uwezo hawana.

prof hataki slaa awe na slaa hataki prof awe, kila mtu anajiona ni mwamba kumzidi mwenzake. dawa ni kusajili nje yao wote, ndio maana akawa Lowasa.

wapumzike, kazi waliyoifanya tutaikumbuka daima

Inamaana upinzani wooote hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa rais hadi mfate makapi hii ni fedheha na inaonesha bado upinzani wanatakiwa kujipanga sana....andaeni watu mnakuwa kama taifa starz...hamua daji wachezaji halafu mnashiriki kampeni za kucheza kombe la dunia....
 
huyo li-pumba c alikuwepo cku lowasa anatambulishwa na aliongea wamekubaliana yote? namshangaa sn huyo prof.
 
Jamani ntamaholo,sasa hapo nani ccm zaidi,Slaa,Lowasa au Lipumba,,mi nadhani kuna jambo tu km ni u-ccm Huyo EL hata miezi 2bado toka aondoke ccm,heri ya slaa katoka zamani kajenga chama hadi kufika hapo,tusikalili mageuzi wakati ndani yake kuna tatizo itatukosti watanzania wote....asante...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom