Huyu jamaa ni profesa katika uchumi...sio uongozi au siasa.....kwanza ni mnafiki saana.....Haiwekani juzi tu hapa uko na Lowassa na mnamkaribisha kwa mbwembwe zoote mbele ya waandishi wa habari afu leo unatuletea blahblah zako hapa....Ina maana dhamira yako imekuja leo?...msomi gani unafanya mambo kwa papara bila kufikiri kwanza impact yake?...afadhali hata Slaa kaamua kususa tangu mwanzo looool!huyo li-pumba c alikuwepo cku lowasa anatambulishwa na aliongea wamekubaliana yote? namshangaa sn huyo prof.