Maalim Seif akana kuitwa msaliti kwa kukubali SUK asema sio kila jambo unasusia!

Tatizo unarudia makosa Yale Yale ya kuichukulia Zanzibar kama koloni LA Tanganyika.

Ungejiridhisha hizo katiba za ACT na Hiyo ya licheck lLipumba. Utagundua composition zao zimezingatia nafasi ya Zanzibar kama partner wa muungano.

Unachekesha kusema kwa kuwa ACT imeamua kuiunga SUK Zanzibar na kusikiliza upande was wanachama Zanzibar pekee imewakosea watu was kibondo na mtwara lkn unasahau isingezingatia hivyo na kuamua jumla jumla tu kumbe ACT ingekuwa imewakosea wazanzibari vile vile.
Nataka ukubali kuwa hip sio hoja na bila kuwa na mtazamo huo in sawa na ukoloni ambao Mara zote ndugu zetu was Zanzibar wanapigia kelele.

Maalim Seif kaeleza vizuri. Si kila kitu kinasusiwa. By the way unataka kumfundisha mtaalamu wa kususia namna ya kususia wakati yeye mwenyewe ni mzoefu.

Hakuna hoja yoyote hapo yenye uhalali zaidi ya hasira kuficha chuki dhidi ya wazanzibari.

Tubadilike.

Ninavyojua mimi ni kuwa mpaka sasa hivi Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na chama cha ACT WAZALENDO ni chama cha kitanzania sio cha kizanzibari. Kama chama cha kitanzania kina wajibu wa kusikiliza maoni ya wanachama wa pande zote mbili za Muungano kuhusu hatua kubwa kama hii. Labda mtuambie kuwa kuna ACT Wazalendo ( Zanzibar) na ACT Wazalendo (Bara).

Kama Zanzibar wanaona kuwa watu wa Bara kuulizia masuala ya Zanzibar ni ukoloni basi waseme wazi kuwa hawautaki Muungano ili kila mmoja wetu aweze kujiamulia anavyotaka bila kujali mwenzake ataathirika vipi na uamuzi wake. Ilhali bado wako kwenye Muungano inawapasa kuwaheshimu wenzao ambao waliwakaribisha kwenye chama chao. Maoni ya mwanachama wa ACT Wazalendo Kilwa yanatakiwa yapewe uzito ule ule kama aoni ya mwanachama wa ACT wazalendo anayeishi Pemba.

Hivi huyo mwalimu wa kususia, amesusia mara ngapi kiasi cha kumfanya yeye mzoefu? Kwa bahati mbaya, kwetu sisi machogo, Maalim ni binadamu kama wengine. Anapokosea hatuchelei kumwambia. Yeye sio Mungu wetu.

Kwa mtazamo wenu huo haitachukua muda mtaigeuza ACT Wazalendo kuwa CUF nyingine. Hamjiulizi kwa nini wakina Zitto, Ado na wengine hawako mstali wa mbele kutetea uamuzi wa chama chao? Ado baada ya kusomea jamii maamuzi ya Kamati Kuu kapotea. Zitto kajikita katika masuala ya Ethiopia na alitokeza tu kama mgeni mualikwa. Bwana mdogo Nondo kajitahidi sana kutetea msimamo wenu Twitter lakini inaelekea na yeye kanyanyua mikono. Huu uamuzi ni mzuri sana kwa ACT Wazalendo (Zanzibar) lakini kwa Bara bado ina ukakasi. Na viongozi wenu machogo wanajua hilo.

Amandla...
 
Maalum seif kalewa madaraka hata week bado ngoja laana za waliodhurumiwa kura zimwandame atajutia njaa zake
 
Maalim alipotoka C.U.F aliamia A.C.T,ilhali wakati wa mvutano wake na Lipumba Chadema walikua bega kwa bega na Maalim.
Kama ufipa wangekuwa na maono ya mbali wangejua mapema mchele na pumba ni zipi kabla ya kumsaport uchaguzi uliopita.
Maalim asingeweza kwenda Chadema kwa sababu anajua kule asingepewa nafasi ya kugeuza priority ya chama kuwa masuala ya Zanzibar. Chadema kumsupport uchaguzi uliopita ulikuwa na manufaa ya wao kujijenga Zanzibar na Bara kwenye maeneo ambayo ni ngome ya ACT Wazalendo. Na ACT Wazalendo kumtema hadharani mgombea wao wa urais wa JMT kuliwajenga zaidi Chadema kuliko ACT Wazalendo walivyofaidika Zanzibar kwa Chadema kumuunga mkono Maalim.

Kwa uamuzi waliochukua, inawezekana ACT Wazalendo imejijenga zaidi Zanzibar lakini kwa Bara itabidi wafanye kazi ya ziada kurudisha imani ya wananchi kwenye chama chao. Kwa hali hii atakayefaidika ni Chadema kitu ambacho sio kizuri kwa sababu watu kama Zitto, Bwege, Ado, Kubenea bado wana mchango mkubwa katika siasa za upinzani.

Amandla...
 
Huyu Sefu msaliti alianza kuwasalito Wazenji wakati hayati Abood Jumbe alipotaka kuwakomboa toka kwa Kamba
Hako kazee ni kajinga sana na kama kataanzisha maneno na chadema katambue kuwa laana ya waathirika wa mateso ya kipindi cha kampeni zitakaandama mpaka kapate kuugua tumbo ka kuhara miaka mitano
 
Maalim siku zote focus yake ni Zanzibar tu na anavitumia vyama vya siasa vya bara kama vyombo vya kufikia lengo lake. Alikichukua chama cha wakina Aleck Che Mponda na kukigeuza kuwa chama ambacho priority yake kubwa ni masuala ya Pemba na Unguja. Ameingia sasa ACT-WAZALENDO na anarudia mchezo ule ule. Nasema hivi kwa sababu:
1. Anaposema wanachama wa ACT-WAZALENDO waliulizwa kuhusu hatua ya kuingia kwenye GNU sidhani kama anamaanisha wanachama walioko Kibondo au Newala. Kwake yeye mradi wanachama walioko Pemba na Unguja wameulizwa mchezo umekwisha.
2. ACT Wazalendo ni chama cha kitaifa na hivyo kabla ya uamuzi wowote kuchukuliwa walipaswa kuangalia athari au faida yake kwa Chama kwa ujumla na sio kwa upande mmoja wa Muungano. Mpaka sasa hivi tunachosikia ni faida tu kwa wanachama walioko Zanzibar lakini hatusikii lolote kuhusu faida ambazo mwanachama wa Kibondo atapata kutokana na hatua hii.
3. Lugha ya kuwa Zanzibar sio Tanzania Bara ni ya kuwakataza hata wanachama wenzake wasio wazanzibari kushiriki katika mjadala unaohusu uamuzi wao wa kujiunga katika SUK.
4. Kwa ACT-WAZALENDO ( Bara) uamuzi huu unaweza kuwaathiri sana maana wamejiweka wazi kwa tuhuma za kuwa wao sio sehemu ya upinzani makini bali ni sehemu ya utawala uliopo. Hali hii inaweza kukubalika Zanzibar lakini itawaathiri kwa wanachama wao waliokipigania chama chao kwenye mikoa kama Lindi na Mtwara.
5. Kwa matamshi yake tayari anajihesabu yeye ni sehemu ya utawala wa Zanzibar. Ameanza mpaka kutumia lugha za vitisho dhidi ya wale ambao hawakubaliani na uamuzi wake. Kwa kufanya hivi anaonyesha yeye by nature ni authoritarian na hataki watu watofautiane nae. Hii inasikitisha kwa sababu inaonyesha kuwa si muumini wa Demokrasia na kuna uwezekano mkubwa kama angekuwa na uwezo angefanya vitendo hivyo hivyo ambavyo alifanyiwa.

Hata hivyo pamoja na kusema hivi, ninawaombea heri ACT-WAZALENDO na viongozi wao katika safari yao ya kutuonyesha kuwa kuna njia mbadala. Mafanikio yao yatakuwa yetu sote. Na wakionyesha kuwa mawazo yangu ni potofu sitasita kurudi tena humu na kuwaomba msamaha.

Amandla...
We jomba mawazo yako Ni potovu Bora uombe msamaha yaishe kabisa ..umezungumza Kama mzanzimbari wakati wewe ni mzanzibara. Kwann unawassmea wenzako ambao kwa maamuzi yao wameona yana kheri...why unawa critisize...omba msamaha...wache wazanzibar waamue mambo yao wenyewe...suala la chama kuwa mpaka bara haijalishi..kwanza inaonyesha ACT Ni wazalendo Kama wanavyojitambulisha na Kama walivyotenda....sio Kama Yale mabeberu yenu ya chadomo.na kina Amsterdam...wanafanya siasa mpaka wanaigiza...eti Lema anatishiwa maisha , Lema....hahahah. Wamwache mwenyekiti ambaye ndie link na mwenyekiti chama wakimbizane na mmbwa badala ya mwenye mmbwa...umeona wapi wewe hii maneno...maisha yamemshinda amekimbia na madeni bongo hahaha...wajinga ndio waliwao...anyway hiyo ndio siasa...Sasa sijajua Kama chama ndio kimekufa wamemsusia Mbowe akiendeshe mwenyewe au inakuwaje. .
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
Kwanini usiseme mabavu ya wananchi..kwa sababu wao ndio wapiga kura na wananchi walifanya maamuzi sahihi kabisa...achana na upinzani huu matopolo huu..Bora waje wapya...na wenye mwelekeo wa busara..lakin sio huu wa kutumwa na kina Amsterdam na mabeberu wenzie..shwainnny
 
Wapi nimesema mimi ni mzanzibari? Mimi ninajivunia uchogo wangu. mengine uliyosema sina muda wa kukujibu.

Amandla...
 
Kwanini usiseme mabavu ya wananchi..kwa sababu wao ndio wapiga kura na wananchi walifanya maamuzi sahihi kabisa...achana na upinzani huu matopolo huu..Bora waje wapya...na wenye mwelekeo wa busara..lakin sio huu wa kutumwa na kina Amsterdam na mabeberu wenzie..shwainnny
CCM kama chama cha siasa haipo ila kuna genge linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kataa kubali huo ndiyo ukweli. Mbinu zilizotumika kuvuruga mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na uharamia ukiofanywa na vyombo vya kiutawala kuwaengua na kuiba kura za wapinzani hadharani zinaifuta CCM kwenye kundi la vyama vya siasa.
 
Daa we jamaa umekaririshwa sijui na Nani..anyway iko siku utafunguka macho Kama viongozi wako walioenda kuunga juhudi kwa JPM walivyostuka mapema...usidhan Wao Ni wajinga...tena viongozi waandamizi Sasa ije iwe wewe jomba mshabiki tu na hata kadi ya chama huna..wewe huna uchungu wowote no ushabiki tu unaendesha..hahaha..vyama vyenyewe vilishapoteza sura ya uchama vimegeuka kuwa Sacco's...na wewe unajua na unaona..lakini unafumbia macho unaona aibu kusema ukweli...Sasa bila kusema ukweli vitabadilika vipi...embu uwe mzalendo basi at least for once..
 
Kwa nyie mnao ibeza Chadema kwa msimamo wao. Chadema wanajua maana ya "leverage" ndio maana wamewashukia kama mwewe wakina Halima na kumwacha yule wa Nkasi. Wanajua kuwa bila kuwa na idadi ya kutosha ya wapinzani Bungeni, Bunge litakosa uhalali na itakuwa ngumu kwake kutimiza matakwa ya Kikatiba ya uendeshaji wa Bunge. Matumaini yao ni kuwa wakiendelea na msimamo wao, serikali itabidi iwakubalie baadhi ya matakwa yao ( sio yote) ili waruhusu wanachama wao kuingia bungeni na kulipa uhalali. Na wanajua kuwa kuna uwezekano wa kuwa wakiingia tu, chama tawala kitaweza kubadilisha Katiba kwa kuondoa vipengele ambavyo vinawasumbua sasa hivi. Wakiingia tu Bungeni watakuwa hawana leverage.

ACT Wazalendo approach yao ni tofauti. Wao wanaingia kwenye SUK kwa imani kuwa Chama Tawala Zanzibar kitawapa nafasi ya kuwa mtawala mwenza makini. Wanaopinga msimamo huu wanasema kuwa kwa vile Katiba ya Zanzibar inataka pawe na SUK basi bila shaka serikali isiyoshirikisha upinzani itakosa uhalali. Kwa sababu hiyo walitegemea ACT Wazalendo watoe masharti magumu kabla ya wao kujiunga maana leverage yao ni kabla ya kujiunga. Kwa kujiunga walivyojiunga, hiyo leverage inapungua nguvu. Sasa hivi wanategemea zaidi nguvu binafsi za Maalim kuweza kuleta mabadiliko wanayoyataka. Sisi sceptics inabidi tuwaombee heri kwenye hilo.

Amandla...
 
Soma vizuri andiko langu jomba..nimesema wewe kwanza sio mzanzibari
Umesema nazungumza kama mzanzibari wakati mimi ni mzanzibara. Mzanzibari na mzanzibara wote ni watu wa Zanzibar kitu ambacho sijawahi kuwa. Mimi ni proudly Chogo yaani mtu wa Tanzania Bara ambae sina uhusiano wowote na Zanzibar.

Amandla...
 
Umesema nazungumza kama mzanzibari wakati mimi ni mzanzibara. Mzanzibari na mzanzibara wote ni watu wa Zanzibar kitu ambacho sijawahi kuwa. Mimi ni proudly Chogo yaani mtu Tanzania Bara ambae sina uhusiano wowote na Zanzibar.

Amandla...
Haya jomba nashukuru umeelewa..
 
Bao la kisigino kwa chadema. Wanamsikiliza Lisu wagomee kila kitu wakati yeye mwenyewe anakula bata ulaya!! Wajifunze, kwa huu uamuzi wa ACT, CHADEMA itaathirika sana.
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Huoni kuwa wewe ndiyo Tatizo? au umesahau kuwa unyanyasaji uonevu mateso yako vitisho vyako ndivyo vimemfanya Lisu kuwapo huko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom