Maalim Seif akana kuitwa msaliti kwa kukubali SUK asema sio kila jambo unasusia!

Kwanini usiseme mabavu ya wananchi..kwa sababu wao ndio wapiga kura na wananchi walifanya maamuzi sahihi kabisa...achana na upinzani huu matopolo huu..Bora waje wapya...na wenye mwelekeo wa busara..lakin sio huu wa kutumwa na kina Amsterdam na mabeberu wenzie..shwainnny
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi Tundu lisu angefikaje Belgium kwa Amsterdam? huoni kuwa mipango ya hovyo ya mbuzi jike ndiyo inamwamsha Beberu?
 
Umesema nazungumza kama mzanzibari wakati mimi ni mzanzibara. Mzanzibari na mzanzibara wote ni watu wa Zanzibar kitu ambacho sijawahi kuwa. Mimi ni proudly Chogo yaani mtu Tanzania Bara ambae sina uhusiano wowote na Zanzibar.

Amandla...
Zanzibar wote ni wahamiaji tu tokea comoro Tanganyika mombasa kenya na Uganda akina okelo, Tatizo la Zanzibar ni Tatizo la Tanganyika
 
Daa we jamaa umekaririshwa sijui na Nani..anyway iko siku utafunguka macho Kama viongozi wako walioenda kuunga juhudi kwa JPM walivyostuka mapema...usidhan Wao Ni wajinga...tena viongozi waandamizi Sasa ije iwe wewe jomba mshabiki tu na hata kadi ya chama huna..wewe huna uchungu wowote no ushabiki tu unaendesha..hahaha..vyama vyenyewe vilishapoteza sura ya uchama vimegeuka kuwa Sacco's...na wewe unajua na unaona..lakini unafumbia macho unaona aibu kusema ukweli...Sasa bila kusema ukweli vitabadilika vipi...embu uwe mzalendo basi at least for once..
Wewe ndiyo umekaririshwa upuuzi wa kumsifu na kumuabudu binadamu. Unataka kuniambia kuwa ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa imeacha majukumu yake ya kikatiba na sasa inasajili saccos? Kuwa na adabu. Mimi siyo aina ya hao walionunuliwa kwa njaa zao.
 
Waajabu kisa wamekataa wewe kununuliwa na kusahau roho za watu waliokufa huko Zanzibar?
Mwaka 2001,ulikuwa hujaja mjini,inasadikiwa waliuawa watu 20 Pemba baada ya kumchinja askari polisi,lakin 2010 kafu waliingia serikalini,nyie chadema ni wanaharakati uchwara,hamjui siasa
 
Maalimu tayari keshaingia CCM anashiriki nao meza moja

Chochote atakacho ongea from now on lazima maCCM yachukue na kukimbia nacho kama anavyofanya mwanaCCM Yehodaya now!

Sasa hivi ni CCM+ACT >>> Chadema!

Hakuna tofauti kati ya CUF na ACT now!
Maalim hawez kuwa msaliti, msaliti ni kina halima mdee na Tundu lissu sasa yuko belgium anakula kuku na Lema canada nafamilia yake
 
Maalum seif kalewa madaraka hata week bado ngoja laana za waliodhurumiwa kura zimwandame atajutia njaa zake
Vipi kuhusu Halima mdee na Tundu lissu na Lema kula kuku kule ulaya, kibanz kwenye jicho la mwenzako lakini boriti imekuchopea kwenye jicho lako
 
Maalim ni mtu mwenye hekima kubwa sana hauwezi kuwafananisha na nyumbu wa ufipa.
 
Mwaka 2001,ulikuwa hujaja mjini,inasadikiwa waliuawa watu 20 Pemba baada ya kumchinja askari polisi,lakin 2010 kafu waliingia serikalini,nyie chadema ni wanaharakati uchwara,hamjui siasa
Wewe mzaliwa wa mjini Mbona hujawahi kuingia ikulu huna nyumba Oyestabay? Wamiliki wa pesa matajiri wakubwa siyo wazaliwa wa mjini ni wakuja Tambua wa kuja sasa ndiyo waziri wa fedha madini na wizara zote nyeti, acha ushamba wako kuja mjini mapema siyo kutokuwa uchwara kama wewe, kuja mjini mapema huishia kuwa machinga na muuza magazeti, CCM mnasaka uteuzi uchwara hadi mmejitoa fahamu zote
 
Maalim ni mtu mwenye hekima kubwa sana hauwezi kuwafananisha na nyumbu wa ufipa.
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi,unyumbu ni kusahau mateso yaliyowapata wazanzibar na kuendekeza njaa binafsi
 
Wewe mzaliwa wa mjini Mbona hujawahi kuingia ikulu huna nyumba Oyestabay? Wamiliki wa pesa matajiri wakubwa siyo wazaliwa wa mjini ni wakuja Tambua wa kuja sasa ndiyo waziri wa fedha madini na wizara zote nyeti, acha ushamba wako kuja mjini mapema siyo kutokuwa uchwara kama wewe, kuja mjini mapema huishia kuwa machinga na muuza magazeti, CCM mnasaka uteuzi uchwara hadi mmejitoa fahamu zote
Bora umekubali kuwa mi wa kuja hujui chochote,unadandia treni kwa mbele
 
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Huoni kuwa wewe ndiyo Tatizo? au umesahau kuwa unyanyasaji uonevu mateso yako vitisho vyako ndivyo vimemfanya Lisu kuwapo huko?
Mmempiga wenyewe huko chadema, alikuwa anataka uenyekiti ambayo ni nafasi ya milele ya DJ.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom