Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Seif ni mwanasiasa ambaye historia itakuja kumpa nishani hata akiwa kaburini.Ameona mbali kura ya leo ndiyo itakayowapa ushindi CCM wakipiga peke yao.Askari waliopiga kura leo kesho mapema watakuwa mitaani kuzuia wapiga kura wa Seif kwenda vituoni.Kwa maana hiyo kura ni leo sote na kesho sote au isiwepo kabisa.
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Huu wimbo wa kujifariji baada ya kushindwa na bado mtatapatapa Sana kutafuta sababu za kushindwa kumlipa Amsterdam maana mmemtapeli wakati mnajua HAKUNA wa kuipa saccos ya Mbowe uongozi wa JMT. Mpeni huyo Tundu Lissu aondoke nae Hapo Dec 18.
 
Umesahau mtu kubeba vitu atakavyoweza kutumia kujilinda pale atakaposhambuliwa bila sababu za msingi
 
Kuna njama za kuwateka mawakala wa upinzani na kuwaweka mahabusu saa 48 kwa amri ya DC. Msipoweka mifumo ya kujilinda itakula kwenu
Usiwaingize wenzio chaka alafu wewe umejificha ndani unabonyeza vitufe vya simu,nenda wewe kaweke hiyo mifumo ya ulinzi kama unaweza.
 
Mwache atandikwe tu. Babu madevu amekosa kujifunza kwa le prof lipumba kile kichapo cha kwenye defender mpaka kuvunjwa mkono.
 
Mimi naona kama vile hata polisi wanampaisha Maalim,wataacha watu wakapige kura za hasira na huruma.

Ninadhani hatayeye alijuatu kama atakamatwa hivyo kwake nikama kete ya ushindi
Wazanzibari imefika wakati lazima wawe na silaha za moto,ikiwa wana uwezo wa Kuwa na kila kitu,silaha ndio solution ya kumaliza mauaji,kila mzanzibari mwenye uwezo hima awe na silaha ya moto,Pemba/unguja,halafu ipigwe mbiu ya mgambo.
 
hata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda
Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine
Na kama wameamua kukinukisha ndio itakuwa rasmi zanzibar ni mkoa wa Tanganyika kuwanzia uchaguzi huu
Na kama uliona jana wajeshi wanawapa kichapo raia
Ndio rasmi sasa Zanzibar itarudi Tanganyika kinguvu ,, tega sikio
MS ni idiot.
 
Hapa mdo napomuelewaga magufuli...anatumia akili vizuri sana kudeal na wanaojifanya wanaweza kuwa juu yake...na mtashangaa zanzibar uchaguzi utaenda kwa amani na ccm itashinda kwa kishindo...
Ukisema uchaguzi Zanzibar utaenda kwa amani unakusudia vipi?
Tayari kuna ripoti za vifo
NIELEWESHE TAFADHALI
 
Wewe kampigie kura unayemtaka, kwani Nani ataona kura yako ni Siri yako.
Hivi kwa nini namba ya kitambulisho cha mpiga kura huwa inaandikwa kwenye kipande kinachobaki kwa msimamizi cha kura unayopewa kwenda kuchagua unayeona anafaa kukuongoza? Naomba kuelimishwa.
 
Hivi utaratibu wa kupiga kura leo unahusu kura ya nani? Na nani anaruhusiwa kupiga kura leo?
 
Ajabu yaani wapiga kura hawafiki hata laki tano lakini wanapiga kura siku mbili halafu watashangilia ushindi wa kishindo.

Utawala wa mabavu wa CCM wenye unafiki wa kuhubiri Amani. Sasa si wafute tu mfumo wa vyama vingi
 
Back
Top Bottom