masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,886
- 13,182
Lets bet!Unaziamini taarifa za gazeti la Uhuru kuhusu upinzani?
Usitegemee Maalim Seif kuiacha CUF hata siku moja.
Lets bet!Unaziamini taarifa za gazeti la Uhuru kuhusu upinzani?
Usitegemee Maalim Seif kuiacha CUF hata siku moja.
Kesi iliyofunguliwa mahakama ya EAC na Wanzazibari 40000 kuhoji uhalali wa Muungano kunguruma leo. Allah awashushie haki wazanzibari.
Haya mambo ya kustuka stuka kila wakati unaweza ukafa kwa shinikizo la damu. Chukua tahadhari mapema....
===
Kutoka kwa hii Habari kumenistua!
Utafunguliwa mashtaka kwa kuotaUnajua leo nimeota Maalim Seif anakuwa waziri mkuu wa Zanzibar, Nikajiuliza Zanzibar katiba yao wameibadili lini kuweka cheo cha waziri mkuu?
===
Kutoka kwa hii Habari kumenistua!
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.
Chanzo: Gazeti la UHURU.
MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Mimi hii nimeota kweli kabisa! Sasa wengine wanawaza watakavyoota!!! Kisha wanaweka mawazo hayo hadharani. Katu mimi sifanyi hivyo.Utafunguliwa mashtaka kwa kuota
Gazeti lenyewe uhuru, basi kwaheriKatibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.
Chanzo: Gazeti la UHURU.
MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Lakini ile mitambo si iliibwa na ccm wenyewe?Kwahio magazeti hayo hayachapishwi?