Maalim Seif ajiandaa kuitosa CUF

tindo

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
28,622
2,000
Gazeti la uhuru halijawahi sema uongo kamwe.
Kumbuka lile gazeti wana usala..ma wanapeleka taarifa za kisiasa pale Lumumba.

Hata ya Lipumba na Slaa kujiuzulu walizitoa wao
Hao si walifika bei ccm, wangeshindwaje kujua?
 
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,056
2,000
Yani muandishi anamka asubuhi anajiandaa kwenda kuandika anachowaza kichwani mwake na sio taarifa sahihi
 
Granta

Granta

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
4,685
2,000
Gazeti la uhuru halijawahi sema uongo kamwe.
Kumbuka lile gazeti wana usala..ma wanapeleka taarifa za kisiasa pale Lumumba.

Hata ya Lipumba na Slaa kujiuzulu walizitoa wao
Hilo Gazeti habari zake zote ni UONGO
 
M

Malata Junior

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,987
2,000
Unajua leo nimeota Maalim Seif anakuwa waziri mkuu wa Zanzibar, Nikajiuliza Zanzibar katiba yao wameibadili lini kuweka cheo cha waziri mkuu?
===
Kutoka kwa hii Habari kumenistua!
ndoto haziruhusiwi nchi hii unaweza kufunguliwa mashtaka na kunyimwa dhamana!
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,369
2,000
Hivi wale jamaa waliouza Mitambo ya Uhuru ili wajilipe mishahara bado Wapo? Na Je wafanyakazi wa Uhuru wamelipwa mishahara ya mwezi huu????
Elli acha kukumbusha watu machungu. Walipwe na nani? Sasa hivi hizo familia zao ni majanga tuu, ukiondoka hujaacha kitu na jioni unarudi na fungu la dagaa lakini unakuta mke kaandaa kuku na biriani mwororo hakuna kuuliza vimetoka wapi we jipigie tuu maana mama yeyoo kajiongeza ha ha ha! Hapo ndio walipofikia.
Kama mzee aliahidi atatenda na hajatenda nani mwingine ataweza kutenda?
 
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,244
2,000
Hapo wangeandika Mh..... Ajiandaa kuhama CCM ndio ningeamini.
 
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
8,012
2,000
Hivi wale jamaa waliouza Mitambo ya Uhuru ili wajilipe mishahara bado Wapo? Na Je wafanyakazi wa Uhuru wamelipwa mishahara ya mwezi huu????
Lizaboni na MOTOCHINI watasema ni chadema ndo waliouza mitambo ya kuchapia ya gazeti la uhuru.
 
K

Kiyawi

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
1,676
2,000
Unajua leo nimeota Maalim Seif anakuwa waziri mkuu wa Zanzibar, Nikajiuliza Zanzibar katiba yao wameibadili lini kuweka cheo cha waziri mkuu?
===
Kutoka kwa hii Habari kumenistua!
Umekuwa Lema wa kuota!
 
mkonongo1938

mkonongo1938

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
1,867
2,000
Hili mimi huwa na nunua kwa ajili ya kufungia maandazi
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
14,973
2,000
Unaziamini taarifa za gazeti la Uhuru kuhusu upinzani?

Usitegemee Maalim Seif kuiacha CUF hata siku moja.
nNani aliyeamini Lowassa angeondoka CCM...alisema angekuwa wamwisho kuondoka,matokeo yake alikuwa wakwanza kuondoka.
 
Elli Mshana

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
37,514
2,000
Elli acha kukumbusha watu machungu. Walipwe na nani? Sasa hivi hizo familia zao ni majanga tuu, ukiondoka hujaacha kitu na jioni unarudi na fungu la dagaa lakini unakuta mke kaandaa kuku na biriani mwororo hakuna kuuliza vimetoka wapi we jipigie tuu maana mama yeyoo kajiongeza ha ha ha! Hapo ndio walipofikia.
Kama mzee aliahidi atatenda na hajatenda nani mwingine ataweza kutenda?
Dah mimi wiwezi nitaua mtu aiseeee Wafanyakazi wa Uhuru hawana Uhuru.....
 
Jibala

Jibala

JF-Expert Member
Jun 13, 2010
455
500
U-HURU = upo huru kuandika, ndo maana yake,
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,369
2,000
Dah mimi wiwezi nitaua mtu aiseeee Wafanyakazi wa Uhuru hawana Uhuru.....
Sasa mkuu hao watumishi wa Uhuru wataua wangapi wakati zoezi la kukosa mishahara ni endelevu? (Wenyewe Lumumba wanaita mtambuka)
 
Top Bottom