Maalim Seif ajiandaa kuitosa CUF

Kesi iliyofunguliwa mahakama ya EAC na Wanzazibari 40000 kuhoji uhalali wa Muungano kunguruma leo. Allah awashushie haki wazanzibari.

Kesi inafanyikia wapi?.Mahakama hiyo ina uhalali wa kuvunja muungano kama isiporidhishwa na taratibu za uanzishwaji au uendeshwaji wake?
 
Gazeti La Uhuru.
Nilipoona tu Habari Imechapwa Kwenye Gazeti La ccm tu Basi Hamna cha Mana.
Toka Lini Uhuru Likaandika Vizuri Habari za Wapinzani?
Gazeti Haliuziki.
 
7.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.

Chanzo: Gazeti la UHURU.

MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.


Gazeti Lenyewe la Uhuru, Nimeelewa Propaganda Gazzete
 
asante kwa kuniletea gazeti la kufungia maandazi yangu.huwa yanaongezeka utamu nikiyafunga kwenye gazeti hili.
 
Uhuru kwa habari hzo ndo maana hamuuzi magazeti yenu ndo maana mnakosa hata kulipana mishahara ya miez saba kwa wafanyakazi wenu hahaha
 
7.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.

Chanzo: Gazeti la UHURU.

MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Gazeti lenyewe uhuru, basi kwaheri
 
Lipumba ndilo analoliombea litokee, Maalim aachie CUF Bara, he has nothing to loose sababu ana CUF b visiwani, kwa sasa wanajiita ADC chini ya Hamad Rashid
 
Uhuru si la kuamini likitoa habari za wapinzani,
ni kama ambayo Tanzania Daima na Mwanahalisi huwezi kuyaamini yakitoa habari za CCM.
 
Propaganda at its best - Maalim atakuwa Rais wa Zanzibar insh kabla ya 2020.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom