Maalim Seif ajiandaa kuitosa CUF

7.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.

Chanzo: Gazeti la UHURU.

MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
hivi hili gazet lipogo?
 
Source tu ndio shida hapo!

Hivi hilo gazeti linajiendesha au linaendeshwa kwa ruzuku ya chama? sikumbuki lini nilisoma au kuona linauzwa mahali
 
Hivi wale jamaa waliouza Mitambo ya Uhuru ili wajilipe mishahara bado Wapo? Na Je wafanyakazi wa Uhuru wamelipwa mishahara ya mwezi huu????

Elli;
Unasema mshahara wa mwezi huu, wafanyakazi wa Uhuru hawajalipwa mishahara ya miezi ka 8 hivi. Ruzuku yao imepunguzwa sana na mianya ile imezibwa sasa tunaisoma namba tu.
 
Elli;
Unasema mshahara wa mwezi huu, wafanyakazi wa Uhuru hawajalipwa mishahara ya miezi ka 8 hivi. Ruzuku yao imepunguzwa sana na mianya ile imezibwa sasa tunaisoma namba tu.
Kumbe ndio maana waliipiga bei ile machine
 
Now WANYAMWEZI watani zao WAPEMBA ndo wanaiongoza KAFU
 
Unaziamini taarifa za gazeti la Uhuru kuhusu upinzani?

Usitegemee Maalim Seif kuiacha CUF hata siku moja.
Hilo gazeti linachoandika ndo mipango ya ccm wanayoitekeleza, hapo ina maana kwamba ccm inahakikisha Seif anahama CUF kupitia kibaraka wao Lipumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom