Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

Chadema nao wamekuwa wakishiriki chaguzi zote kuu na kulalamika wanaibiwa kura tangia mwaka 1995
 
ACT waliingizwa kingi na wahenga kwamba zimwi likujualo halikuli likakwisha , chakushangaza hili zimwingara limemeza hadi kivuli lazima watoe milio
 
ACT ilianzishwa Ili kuipunguza makali cdm walidhani watakuwa salama mbele ya ccm, hivyo ACT kuporwa kura na ccm ni sawa na BUNDI kumla NYOKA
 
Sijasema iisadie nimeshangaa tu wanashangilia
Cdm hutoa maamuzi Yake kupitia vikao, ni wapi wamekaa na kutoa taarifa ya kufurahia huo uhayawani wa kwenye uchaguzi? Huwezi kutofautisha chama na maoni ya mtu?
 
Sisi CHADEMA hatuingii Chaguzi bila uwepo wa Foreign Observers hata kama Watapora lazima na Dunia nzima ishuhudie.
 
ULITAKA WALIE? CCM na ACT ni Mtu na mtoto wake
 
Vyama vya siasa zaidi ya 19 vitaiunga mkono CCM uchaguzi Mkuu ujao 🐒

watanuna na kuchukia hao, hawa wazee wa mihemko 🐒
 
JokaKuu econonist zitto junior Tindo .....kilichoitokea ACT na nyie kinawasubiri, mshindani wenu hajawahi kuwa muungwana kwa yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…