Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,164
Uongeze kamwili ili uwe 3kimo?Naikata nichemshe supu niongeze haka kamwili kangu

Uongeze kamwili ili uwe 3kimo?Naikata nichemshe supu niongeze haka kamwili kangu

Hebu endelea endelea naeza kukusamehe kwa ulichofanya kule... Afu ukimaliza nikute voice ya kubembeleza umetumaWanakuita Muree
Le mbebizz wa ukwee
Nataka nije mwenyewe
Nyumbani kwa muzee
Nimchukue sista ake na bonge
Niende nae huko mambelee
Nikamwonyeshe malovee
Vipi...niendelee?

Niwe 1kimoUongeze kamwili ili uwe 3kimo?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dada yangu unatatizo, unataka kupetiwapetiwa au unataka kurun ur life!!???..., acha utoto..Habari zenu wana JamiiForums,
Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.
Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.
Sasa nimweleweje kuna upendo apo?
Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
how1.??umemaliza chuo mwaka wa 3
2.??no job,uko home
3.??anakulipia kod ya nyumba
4.?? Anakukaza
5.?? Hakuna maneno matamu
KUA MAKINI#
sana yaniIla jamani kuna ukweli apo mwanamke anaitaji mapenzi na maneno matamu na kupetiwa sio pesa uyo dada akijikwamua akapata kazi uyo boy lazima atachwa tu na kumtafuta wa kumpetipeti.
hahahaSiunahudumiwa unataka kuambiwa kakumiss ili....hakuna mwanaume mkamilifu ukimpata akupendae lazima Ana mapungufu kama unataka mashamushamu tafuta mariooo.....ila shikilia hapo ulipo na usawa huu wa magu tunawatafuta wanaume wa dizaini hiyo...ukimuacha nakubebea.
![]()
NI KWELIU r vr right!!! Ampe vyote lkn bila kumpa mda, atention na care... Ipo siku atakutana na kisebengo atamtamkia tu nakupenda mara mbili tatu then bint atajiona amepata malaika na jamaa atabwagwa na pamoja na pesa zote anazompa...
Duh....ila sasa nashindwa kukubaliana na hayo mambo kwasababu naumia nataman sana abadilike ila hatak...basi wengi tupo hivyo. binafsi sikumbuki lini nimemwambia my wife nakupenda, ukweli ni miaka zaidi ya mitatu au minne, ukiona tunapigiana simu mchana ujue kuna tatizo au tunapeana maelekezo au mrejesho wa shughuli fulani ya kimaendeleo au kifamilia, tunakutana jioniiiii, na tukikutana tunapendana tunajadili maisha fresh, tunalala pamoja kwa kukumbatiana lakini ni zamani sana nimemwambia nakupenda na sioni umuhimu huo, hata yeye anaweza kustuka nikimwambia hivyo atajua either najihami kuna kitu nimefanya au namtega/namkebehi.
we fala who said I was after sex?Yeye yupo Ku provide kwako
Wakati wewe upo after sex
Nyie ni watu wawili tofauti ambao akili yenu inawaza vitu viwili tofauti
ukipata utalalamika valenciaShukuru kwa huyo ulienae,wala usiendelee kulalamika....
Wengine tunatamani kama huyo wako hatupati
iam sick of himPersonality yake labda. Kuna wanaume wagumu naturally
Tuombe: Baba tunakuomba mjalie mwanamke huyu mume mwenye maneno mengi zaidi bila matendo, ili akapate kujawa na furaha, ameeen!Habari zenu wana JamiiForums,
Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.
Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.
Sasa nimweleweje kuna upendo apo?
Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
we fala who said I was after sex?
Ku Punic hivyo vipi tena? Ulitaka kila anaye comment hapa akufurahishe nini? Huyo Magu tu hatumfurahishi utakua wewe!!? Sasa ongeza tusi jingineSio milionare, atakuwa trilionare. Hawa viumbe ni very comlicated. Jamaa anampa kila kitu. Anampa hela na anamkaza kisawasawa mpaka mwenyewe amekiri, lakini wapi demu hajamkubali.Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
kuna mtu alinwah kuniambia dunia ya leo you just care for your own hapness the rest achana navyoSio milionare, atakuwa trilionare. Hawa viumbe ni very comlicated. Jamaa anampa kila kitu. Anampa hela na anamkaza kisawasawa mpaka mwenyewe amekiri, lakini wapi demu hajamkubali.
Mungu tu atusaidie sisi wanaume wa ukweli. Tutahangaika sana mpaka mwisho wa uhai wetu