Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

Jamaa yupo pamoja na magu "hapa kazi tu" kupeti peti kunapoteza muda was kufanya ya maana. Ukubali aje akupetipeti kisha ujihudumie au akulipie kila kitu kisha kupetipetiwa uje kwangu. Hahahahahahahhahahaha just kidding
 
Si ulisema utanikata mtama mwenyewe...

Sasa kumbe hadi ukodi msaada wa wengine....[emoji16][emoji16][emoji622]⚗[emoji821][emoji326]⛏
Nikikukata mwenyewe nitakuonea

Nikikuacha nimekuogopa hata sijui nikufanyaje wewe msukuma. Afu nina hasira nawe kishenzy
 
Nikikukata mwenyewe nitakuonea

Nikikuacha nimekuogopa hata sijui nikufanyaje wewe msukuma. Afu nina hasira nawe kishenzy
Una hasira nami?

Haya hebu bamiza kichwa chako ukutani basi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom