Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

We sio mzima akili zako ni za kuazima pumbavu sana wewe.Sasa si uji petipeti mwenyewe........unakuja kutuelezea upuuzi wako hapa.
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
labda hana ladha kwake,,,kutokana na shida zako akitaka kitumbua anakipata tuu nd maana hanaga kulialia,,,,,
 
hapo
Unataka nini wewe haswaaa?Kama anakuhudumia kila kitu na wewe ni wajibu wako kumtimizia haja zake sio kila kitu lazima aseme yeye
umenena..tena ikifika weekend aende zake mwenyewe amfanyie massage na kumwogesha....tena awe anamuuliza bebi vipinleo hutaki ???
 
Kuna makabila hayajui kupetipeti inawezekana umedondokea huko. mwanamke ni chombo tu cha kumalizia hamu na si vinginevyo.
 
We sio mzima akili zako ni za kuazima pumbavu sana wewe.Sasa si uji petipeti mwenyewe........unakuja kutuelezea upuuzi wako hapa.
mpuuzi ni ww....mimi nimuliza swal na waungwana wamejib...
 
mpuuzi ni ww....mimi nimuliza swal na waungwana wamejib...
Pumbavu sana wewe sasa kwanini unauliza maswali ya kibogas hivyo lahabithi la hamali mkubwa wewe shwani mshazari
 
Bidada;
Asikudanganye mtu. Mwanamke hitaji lake sio fweza na milo, hitaji la mwanamke ni maneno matam mchi ukiwa ndani. Hayo ya fweza ni matokeo ya maujanja yako.
Plan; Kwa kuwa jamaa linakukaza tu kama boot, huku haliku pet pet. Tafuta fundi mzuri, yeye kazi yake kukufikisha kileleni tu baada ya kurejea kutoka kwenye mkazo wako. Bolt zikiwa bado tight, ufarijiwe na maneno ya fundi.
Mengine humu jf, ni ka kuuliza chumvi baharini tu
unamtaftia kifo mmbinti wa watu. jamaa lihudumie alafu wale wengne?
c kila kifo hupangwa na Mungu kumbe nimeamini! oova
 
Nilisha waambia hawa viumbe hawaelewi ni nn wakitakacho
Hata akitumiwa bashasha anazotaka sasa ataibuka na jingine tu
Oooo ananitia tu hataki nizae nae
Neno hiyo
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
Mwelewe hivo hivo
 
Tafuta wa kukupeti peti mama vipo vi marioo kibao vinajua kupeti tafuta hicho achana na huyo ambaye hajui kukupeti peti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom