Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

Hivi siwezi kumpata wa kumkaza kisawasawa humu? mbona wanakaza wenzangu tu.
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
wanawake bhana unakazwa kisawasawa na bado anasimamia show coz huna kazi,what else do u what...the opposite au
 
We utakuwa na matatizo aisee...Sijawahi sikia mwanamke anaekataa matunzo na mshedede wa haja!
Hilo unalotafuta ni rahisi kulipata kwa wanaume walio wengi wasio na pesa au kipaji cha kuhudumia mwanamke ila haitazidi week mbili utalichukia mno na kutamani hata urudi kwa huyo unaemuona hakupendi.
Kwel wanaume tuna safari ndefu mno ili kuja kumridhisha mwanamke!!!
 
Ww upo kwaajili ya kuhufumiwa yupo mwenzio hahudumiwi ila anapetiwapetiwa mda wote
 
We utakuwa na matatizo aisee...Sijawahi sikia mwanamke anaekataa matunzo na mshedede wa haja!
Hilo unalotafuta ni rahisi kulipata kwa wanaume walio wengi wasio na pesa au kipaji cha kuhudumia mwanamke ila haitazidi week mbili utalichukia mno na kutamani hata urudi kwa huyo unaemuona hakupendi.
Kwel wanaume tuna safari ndefu mno ili kuja kumridhisha mwanamke!!!
kweli
 
1.??umemaliza chuo mwaka wa 3
2.??no job,uko home
3.??anakulipia kod ya nyumba
4.?? Anakukaza
5.?? Hakuna maneno matamu
KUA MAKINI#
 
SASA ON A VERY SERIOUS NOTE!
sikiliza mdogo wangu!
KILA MWANADAMU ANA AIAN TOFAUTI YA KUONYESHA UPENDO!
wengine upendo ni kuhudumia mwanamke wake
wngine mapenzi ni kukukaza vizuri
wengine mapenzi ni kukutangaza mbinguni na duniani
wengine mapenzi ni kukuchekesha
wengine mapenzi ni kukubembeleza
wengne mapenzi ni kukupa deal za kitaa
wengine mapenzi ni kukuambia nakupenda mchana usiku na alfajiri
wengine mapenzi ni kukupeleka salooni na kukusifia umependeza

SO HEBU RIDHIKA NA JIFUNZE KUFURAHIA MAPENZI KULINGANA NA MPENZI ULIYENAYE!
HAKUNA FORMULA YA NAMNA NZURI YA KUONYESHA MAPENZI!
MAAANA MI NAMI MWANAUME WA KUNIPIGIA SIMU ASBH MCHANA JIONI NA ALFAJIRI SITAKI HATA KUMSIKIA!
mwanaume wa kushindwa kunipa umbea wa kina james delicious,mashairi ya Darasa na kushare recipes za tambi na nyama ya kuku huyo asee anaweza nipa maisha magumuuuu!
umeona enh?
so hata wanawake mahitaji yetu sio sawa!ni kujitwist tu accordingly!
Kumbe unakubali kuwa mahitaji yetu sio sawa, sasa kwanini yeye aridhike ma mahitaji yasio mahitaji yake!!
 
kwani wewe unataka nini?
ishi kulingana na mazingira kama unampenda....
mzoee na umkubali jinsi alivyo otherwise utaonjesha mkoa mzima ukitafuta kupetiwa...
 
Ila jamani kuna ukweli apo mwanamke anaitaji mapenzi na maneno matamu na kupetiwa sio pesa uyo dada akijikwamua akapata kazi uyo boy lazima atachwa tu na kumtafuta wa kumpetipeti.
 
Ila kuna wanaume makauzu du ukikaa nalo kama umekaa na baba yako ata maneno matamu alina busy tu ukimpigia simu utafikiri unaojiwa na kamanda wa polisi. Mapenzi ni hisia pesa baadae
 
Ila kuna wanaume makauzu du ukikaa nalo kama umekaa na baba yako ata maneno matamu alina busy tu ukimpigia simu utafikiri unaojiwa na kamanda wa polisi. Mapenzi ni hisia pesa baadae
hutompata alie na sifa zote,kama unadhan dunia ipo kwa ajil ya kukupa kila ulitakalo na unalolipenda..basi uko nyuma sana kifikra
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
Siunahudumiwa unataka kuambiwa kakumiss ili....hakuna mwanaume mkamilifu ukimpata akupendae lazima Ana mapungufu kama unataka mashamushamu tafuta mariooo.....ila shikilia hapo ulipo na usawa huu wa magu tunawatafuta wanaume wa dizaini hiyo...ukimuacha nakubebea.
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
U r vr right!!! Ampe vyote lkn bila kumpa mda, atention na care... Ipo siku atakutana na kisebengo atamtamkia tu nakupenda mara mbili tatu then bint atajiona amepata malaika na jamaa atabwagwa na pamoja na pesa zote anazompa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom