Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Sio kwa wanawake wa sasa wewe mwanamke anapenda pesa hata awe ma ml 50 wewe una laki ukimpa ela anapokea.
 
mwanamke na pesa ni kama samaki na maji sikuhizi. No money no honey!
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
Dada wee,mpetipeti wewe wanatofautiana mpenzi
 
basi wengi tupo hivyo. binafsi sikumbuki lini nimemwambia my wife nakupenda, ukweli ni miaka zaidi ya mitatu au minne, ukiona tunapigiana simu mchana ujue kuna tatizo au tunapeana maelekezo au mrejesho wa shughuli fulani ya kimaendeleo au kifamilia, tunakutana jioniiiii, na tukikutana tunapendana tunajadili maisha fresh, tunalala pamoja kwa kukumbatiana lakini ni zamani sana nimemwambia nakupenda na sioni umuhimu huo, hata yeye anaweza kustuka nikimwambia hivyo atajua either najihami kuna kitu nimefanya au namtega/namkebehi.
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Keel tena
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
kweli mwanamke ni kiumbe cha ajabu
 
Unataka nini wewe haswaaa?Kama anakuhudumia kila kitu na wewe ni wajibu wako kumtimizia haja zake sio kila kitu lazima aseme yeye
Kwakwel she is asking for too much,yaani Kila kitu upewe,kukazwa ukazwe vizur bado na kupetiwa pia hyo kaz ya kupeti aifanye yeye ampeti jamaa
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Wanawake ni complicated sana utajiumiza kichwa ukitaka kumlidhisha Kwa Kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom