Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
kama anakukaza vyema shida ingine ya nini! inawezekana anakukaza tuu bila hata kukukojoza ndio maana unalalamika! onja kwangu ndo utafurahi
 
Wewe huna kazi lakini yuko kazini. Ndiyo maana unaona kama hana muda ma wewe.
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
We Acha kutufanya Fala ushapata bwana mwingine utaisoma namba mda sio mrefu
 
Wapo kama wa4 hivi, sijui ni mtu mmoja na id nyingi au ni watoto wa baba mmoja mama mbalimbali, wanavamiaga tu watu.
Huyu hajaanza leo, alipumzika tu kidogo, kuna ID huwa ananichanganya nayo, na ashaambiwa several times ila kaamua kutokuelewa. Basi inabidi tu nimzoee,
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
TAFUTA MWINGINE HUYO NI TAPELI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom