Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

Kwahiyo unakubali kuwa kila binadamu ni selfish right? Kwamba hata Adam angechepuka km kungekuwa na wanawake wengine!

Hivyo ni vitu vilivyo nje ya uwezo wetu,inabidi vifanywe na mwingine ndio maana kuna jinsia mbili, kama ingekuwa unaweza kucreate yo own perfectism basi kungekuwa na jinsia moja tu.
Unafikir kwann angechepuka wanawake hamuishiw kitu mfano hapo juu Huyo dada anapewa kila kitu analalamika tu kakosa kupetiwa petiwa ila kuna mwwngne anakuja atasema kupet pet hatak anataka hayo mengne
Kuna msom mmoja anaitwa maslow alikuja na theory ya level za satsification
Kwamba hitaj Hili likiisha unataka mengne so mwanadamu huwez kuridhika kamwe
Kwa utajir wa trump unahis alikosa nn kwwnye hii dunia yet akataka kuwa POTUS
So kama mnatafuta hambacho hatuna usitegemee utakuja kuridhika kamwe
Na nnaposema create your own perfectisim haimainish kwako mwenyewe hata Huyo mwenza wako a anaweza Kua ur own perfectism
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
 
Unafikir kwann angechepuka wanawake hamuishiw kitu mfano hapo juu Huyo dada anapewa kila kitu analalamika tu kakosa kupetiwa petiwa ila kuna mwwngne anakuja atasema kupet pet hatak anataka hayo mengne
Kuna msom mmoja anaitwa maslow alikuja na theory ya level za satsification
Kwamba hitaj Hili likiisha unataka mengne so mwanadamu huwez kuridhika kamwe
Kwa utajir wa trump unahis alikosa nn kwwnye hii dunia yet akataka kuwa POTUS
So kama mnatafuta hambacho hatuna usitegemee utakuja kuridhika kamwe
Na nnaposema create your own perfectisim haimainish kwako mwenyewe hata Huyo mwenza wako a anaweza Kua ur own perfectism
Suala la kutokuridhika lipo kwa kila binadamu wala haina jinsia hiyo, binadamu siku zote anatamani kile asichokuwa nacho, kama tu ulivyotoa mfano wa trump. Sasa kwa case ya huyu dada ni ngumu kwake kuridhika na huyo mtu maana hitaji la kwanza la mwanamke ni hicho anachokikosa then ndio hayo mengine.

Sasa ikitokea anajimudu kifedha ni rahisi akamuacha jamaa.
Na hata isipotokea basi atakuwa akiishi kwa kumridhisha huyo mtu badala ya kujiridhisha yeye,yupo kwenye mahusiano ambayo yanampa maswali mengi na mawazo.

Hapo aamue kuugulia atulie na aridhike na hicho alichonacho au vinginevyo atafute hicho anachoona kitampa furaha. Kazi ni kwake.
 
Akili kubwa haiwezi kutawaliwa na akili ndogo. Kwanza umesema upo home tena mwenyewe unasema huyo jamaa anakulipia kodi halafu kila ukihitaji kupigwa mambo anakutumia nauli. Hujui unachosema na kwa haraka wewe hufanyiwi hivyo ila unawaza kwa mfano ikiwa hivyo. Ahahahahaaaa
Unajitamanisha nyau wewe
walaaah nmecheka sanaa...
Maana wengine tunavyopenda material stuff ....nashangaa mwenzangu anataka kupetiwa.
 
Suala la kutokuridhika lipo kwa kila binadamu wala haina jinsia hiyo, binadamu siku zote anatamani kile asichokuwa nacho, kama tu ulivyotoa mfano wa trump. Sasa kwa case ya huyu dada ni ngumu kwake kuridhika na huyo mtu maana hitaji la kwanza la mwanamke ni hicho anachokikosa then ndio hayo mengine.

Sasa ikitokea anajimudu kifedha ni rahisi akamuacha jamaa.
Na hata isipotokea basi atakuwa akiishi kwa kumridhisha huyo mtu badala ya kujiridhisha yeye,yupo kwenye mahusiano ambayo yanampa maswali mengi na mawazo.

Hapo aamue kuugulia atulie na aridhike na hicho alichonacho au vinginevyo atafute hicho anachoona kitampa furaha. Kazi ni kwake.
Sina uhakika kama hitaj la kwanza la.mwanamke kwa dunia hii ya Leo ni hlo ila acha tuamin hvyo
Kwa statement ya kusema mnataka tusichukua nacho means tayar nyie hamna n yet unakitafuta kwangu ambapo na mim sina hcho kitu
Ndio maana sentence yangu ya kwanza ilisema formula ya kujua mahtaj yenu kwetu ni nin
Maana kuna mtu anapetiwa kama mnavyosema ila analalamika Kua hatunzwi kwa maana ya kakosa pesa na mahtaj mengine
Kuna ukwel ambao hamtak kuadmit dunia ya Leo wanawake Wengi wako kwenye material staff n sio moyo imepelekea mpka wanaume Kua na moyo mgumu wa kusema I provide u all those materials then tuone kama will satisfy ur needs
 
Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Dada naomba unipm..!

Tafadhali..
 
Ivi were n mwanachuo uliemaliza miaka mi3...hhaaa mi nlijua darasa LA kwanza!!...ebu uwe unarudia ukishaandka !!/..nimekuelewa kwa shida....au hukufudhu kusoma na kuandika
 
mkkutana naye mrekodi wakati mnaduu atakuwa anatoa mameno matamu
 
Sina uhakika kama hitaj la kwanza la.mwanamke kwa dunia hii ya Leo ni hlo ila acha tuamin hvyo
Kwa statement ya kusema mnataka tusichukua nacho means tayar nyie hamna n yet unakitafuta kwangu ambapo na mim sina hcho kitu
Ndio maana sentence yangu ya kwanza ilisema formula ya kujua mahtaj yenu kwetu ni nin
Maana kuna mtu anapetiwa kama mnavyosema ila analalamika Kua hatunzwi kwa maana ya kakosa pesa na mahtaj mengine
Kuna ukwel ambao hamtak kuadmit dunia ya Leo wanawake Wengi wako kwenye material staff n sio moyo imepelekea mpka wanaume Kua na moyo mgumu wa kusema I provide u all those materials then tuone kama will satisfy ur needs
Nitashangaa kama haujaona tatizo katika ulichoandika.
Kusema dunia ya sasa wanawake(umeongelea wote) wanataka material things tu unakosea, hata huyo anaetaka material things ukimchunguza utagundua hilo sio hitaji lake la kwanza, ila imebidi iwe hivyo baada ya kuona mauza uza tu mtu anaamua bora moyo usukume damu tu.

Kuhusu affection kuwa hitaji la kwanza haimaanishi ndilo hitaji pekee, umenipata? Kwahiyo kuhitaji material things ni hitaji linalofuata na ni la kila binadamu,then protection.
 
Em pokea muamala wako, chaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom