Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Mimi binafsi ITV nimeanza kuitupa mkono. Kwa inakoelekea haitakuwa tofauti na TBC. Naona wametishwa na Magufuli.
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Maajabu ya ITV na jukwaa huru
 
Aiseee, ss kama ni hivyo kwann wameita kipindi cha malumbano ya hoja?
....maana ya malumbano lazima kuwe na tofauti hapo,

aibu yao, ila waTz tuache unafki aisee
 
Ni kama mandondocha, kila siku wachangiaji ni hao hao, watangazaji wakiona unataka kuipinga serikali unanyang'anywa mic , KIPINDI KIMOJA CHA HOVYO SANA
 
Hata mbwa hawawezi kufikia hatua hii....
 
ITV ya Leo si ile ya jana na juzi. Ninachopendea ITV siku hizi ni Isidingo the need, shamba shapeup, na ijue sheria! Basi!
Mkuu una akili kubwa sana, upo kama mimi isidingo tu ndio naangaliaga. Zamani nilikiwaga sikosi malumbano ya hoja siku hizi nimeachana na hiki kipindi.
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Ndio ujue JPM kafanikiwa
 
Kwa hiyo kwa mawazo yako ya kipumbavu na kibavicha ulataka wakosoe tu hata pale panapostahili sifa. Hizi akili sijui mnazitolea wapi aisee.
 
Haujazidi unafiki wa yule jamaa aliegundua tunahitaji katiba mpya juzi baada ya kuikataa kwa miaka zaidi ya 15 alipokuwa mbunge na waziri. Na yule mwingine aliyegundua umuhimu wa katiba mpya baada ya kukatwa kugombea URAIS.
Sijui tukimbilie wapi, maana kote wamejaa haohao.

Kwani hao unaowazungumzia wanatokea nchi gani ndugu?mie nimezungumzia Tanzania hii hii, ambayo msemaji WA chama tawala aliyezenguka nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi ya kuunda katiba mpya leo hii anadai eti sio muhimu tena; Kama mwehu hivi sasa anatuhubiria "ukatiba" sijui ndo mdudu gani!!!

Tumekuwa Taifa la wanafiki.. Kuanzia magogoni mpaka kule kwetu Rubya
 
Anzisheni stesheni yenu mjikusanye mabavicha yote yanayopenda kupinga na kubishana kila siku.
He! Kumbe itv inamilikiwa na ccm siku hizi? Na unataka kutuaminisha kuwa wale washiriki pale wote ni ccm?
Kwanini washiriki wote wanaongopa badala ya kuusema ukweli? Eti watoto laki moja wanatekwa London kila siku! Si watoto watakwisha huko London? Mauaji ya watu laki tano tena kwa risasi hapo London kwa siku! Sijui wanapata wapi hizi taarifa?
Halafu waongoza kipindi hawahoji hata source ya taarifa hizo.
Hii kampeni ya kumsifia imehamia kwenye tv stations haijaandaliwa ipasavyo na wasifiaji ni weupe kwenye masifu!
 
Back
Top Bottom