inatakiwa mkumbuke ile ni biashara ya mtu kila mtu anaogopa hasara mimi naamini itv bado ni boraITV ya Leo si ile ya jana na juzi. Ninachopendea ITV siku hizi ni Isidingo the need, shamba shapeup, na ijue sheria! Basi!
ITV ilikuwa zamani sio sasa mkuu. wale wamechujwa ili wamsifu bwana mkubwa....
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?
Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.
Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Nadhani wale jamaa huenda wameajiriwa ili kulipwa na ITV kuwa washiriki wa kudumu katika kipindi chao cha malumbano ya hoja
Usiashangae sana wameandaliwa mkuu.KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?
Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.
Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Leo nimejionea maiti ambazo hazijitambui kumsifia sijonze yaani elimu hakuna kabisa na exposure zero yaani tanzania kam ni watu wa leo kwenye malumbano ya hoja hatutafika popoteMa ndezi kweli wamepangwa,Wanaongea pumba tupu.
Jingine linasema wingereza kwa siku wanakufa watu elfu tano.
Aibu taifa linageuka la mandezi
Ni ukweli baada ya kuona sijonze maji yako shingoni sasa Itv inafanya kila njia kuaandaa watu wa kutudanganya wananchi.ila wenye akili tunajua hatudanganyiki na muda utaamua ni kama mwanamke aliyenasa mimba miezi ya mwanzo hupenda kuvaa manguo asijulikane lakini kadri miezi inavyoongezeka tumbo nalo linakua hivyo sijonze hata aendelee kuhadaa watu tumbo litakua na watu hata wajinga wataelewa na itakua aibu kubwa kwakeMkuu si malumbano ya hoja bali malumbano uchwara ya kumsifia uchwara.
Wanaboa sana hawa ITV we miaka yote wachangiaji wwooote ni wale wale.kila mada wanajua.kwani hamna watu wengine mpaka mlete mijitu ile ile kila siku?nilikua naangalia sana malumbano but siangalii tena sababu ya ujinga kama huu.we hata ile wiki ya wanawake eti nao wamo ni wachangiaji....unashindwa kusema kwakua ni wiki ya wanawake basi wachangiaji wawe wanawake tu!!ITV wameishiwa kila kitu.taarifa zao za habari hovyo,vipindi hovyo...kiufupi tumehama kuangalia ITV....tumehamia AZam.hata matangazo yamepungua sana ITV wasipoacha mambo ya kusifia serikali kwenye kila kitu bila kuweka uhalisia watafunga kituo kileNadhani wale jamaa huenda wameajiriwa ili kulipwa na ITV kuwa washiriki wa kudumu katika kipindi chao cha malumbano ya hoja
nilikua mshabiki sana wa Itv kuanzia kesho nahamia azam TvWanaboa sana hawa ITV we miaka yote wachangiaji wwooote ni wale wale.kila mada wanajua.kwani hamna watu wengine mpaka mlete mijitu ile ile kila siku?nilikua naangalia sana malumbano but siangalii tena sababu ya ujinga kama huu.we hata ile wiki ya wanawake eti nao wamo ni wachangiaji....unashindwa kusema kwakua ni wiki ya wanawake basi wachangiaji wawe wanawake tu!!ITV wameishiwa kila kitu.taarifa zao za habari hovyo,vipindi hovyo...kiufupi tumehama kuangalia ITV....tumehamia AZam.hata matangazo yamepungua sana ITV wasipoacha mambo ya kusifia serikali kwenye kila kitu bila kuweka uhalisia watafunga kituo kile
kipindi hakiwezi nyumbulika kukawa na mawazo tofauti ikiwa kila wiki wanakija wachangiaji walewale mfano huyu babu mapengo
WameandaliwaUmeonae? Mwenyewe Nilkuwa naangalia ilbidi nihamishe channel. Hataree
Sasa kama.hakuna mabaya wapinge nn?? Raisi anachapa kazi sasa kwanini wasimpongeze?? Kama wewe huoni kazi nzuri ya raisi magufuli basi ina matatizo maana sio bure na kama hauna matatizo basi wewe utakua mdau wa chama kileee cha kwao baya zuri na zuri baya. Kwaheri saccos raisi kawabana hamna pa kuhemea hahaaaKIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?
Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.
Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Shida kubwa ya watanzania tunafundishwa unafiki kuanzia ngazi ya familia.Hoja zipo Citizen TV tu walejamaa Kama ni kukosoa wanakosoa kweli had unafurahia hapa kwetu yamebaki maigizo
Getting yourself hurt to impress your boss pathetic ideas