Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Halafu kipindi kinaitwa malumbano ya hoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] funnnyyyyy.....!!!!!
 
Wachangiaji waliokua wanaenda tofauti uliona watangazaji walivyokua wanawakatisha na kuwapunguza kasi. Kazi tunayo tunadhani tunajenga kumbe tunabomoa
 
Ma ndezi kweli wamepangwa,Wanaongea pumba tupu.
Jingine linasema wingereza kwa siku wanakufa watu elfu tano.
Aibu taifa linageuka la mandezi
Watoto laki 5 watu wazima elf 5 jinga kweli lile jamaa. Watoto laki 5 kwa siku INA maana kwa mwezi watoto million 15 je kwa mwaka?
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?

Kwani uongo JPM bonge la rais ktk dunia ya leo. TRUMP kachoka lakini JPM HAPA KAZI TU
 
Mimi sikutaka hata kufuatilia kilipoanza tu nikahamia KBC
 
Mimi sikutaka hata kufuatilia kilipoanza tu nikahamia KBC
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
mfalme j..u..h..a
 
Niliuangalia kazi iliyotuleta pale jana ni kupiga makofi hata usafiri wa kutuleta ulikuwa mmoja.

Lakini pamoja na kuwa ule wingi aliyeonekana ana hoja fikirishi ni yule mkazi wa Morogoro. Sisi kazi yetu ni kusifia hata yasiyo na maana kwenye jamii
 
Huenda wamewaokotea lumumba. Ulitegemea wana wa lumumba waseme nini uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. Wengi wao wanatumia matumbo kufikiri
 
Mwenyekiti wa Bao yule nadhani sio Mwenyekiti wa bao kama tunavyodhani.
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Sio kweli,wapi walioshtumu ubomoaji kimara,kupigwa marufuku mikutano ya kisiasa,kuwekwa lubango watumishi, kufungiwa baadhi ya magazeti n.k.usifikiri wewe tu ndio una TV kwako kana kwamba wengine hatukuona.
Maisha ndo yanavyokwenda, mambo kama haya ni ya kawaida sana ebu fikilia yafuatayo:
1. Rasimu ya katiba ya Warioba. CCM karibu wote hawakuitaka. Wapinzani wote waliitaka. How?
2. Bunge live, wapinzani wote 100% wanalitaka. How comes mawazo ya wapinzani wote kufanana?
3. Nyalandu kujiunga CDM. Wapinzani wote (CDM) kushangilia ujio wake. Kabla ya hapo wapinzani karibu wote walimpinga. Mawazo gani hayo ya kufanana kila kitu?
4. Ni muhimu sana kuelewa lengo la kuandaliwa kwa kipindi hicho kabla ya kusema chochote.
 
Leo radio one kulikuwa na mjadala kuhusu athari zilizotikana na utumbuaji wa wafanyakazi. Sasa jamaa mmoja akapiga simu akaanza kusema, namnukuu "Serikali kwanza ikubali ilikurupuka katika utumbuaji wa wafanyakazi bila kufikiri athari zake" Kabla hajaendelea simu ikakatwa juu kwa juu. Nikasema hii kali nikazima radio nikafanya mengine.
 
ITV nimeidharau sana siku hizi na kwakweli imekuwa ya hovyo kabisa.Bora Azam kwa sasa.
 
Back
Top Bottom