Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

Hahaha machadema yamechachawa baada ya kuona yapo peke yao, na bado hiyo ITV mliyokua mnaisifia kwamba ipo balanced saivi tena mnaitukana?

Tatizo mkilishana pumba hapa jf na kuelewana mnafikiri watu wote wana akili finyu kama zenu anayempinga Magufuli ni taahira tu.
 
Na anayemsifia Magufuri ni taahira tu kama wewe.
 
Huku na ID zetu kuna ka-uhuru kidogo japo matatizo yote anayabeba Mwenye JF
Unategemea kwenye TV ukiwa unaonekana na kwa hali ulivyo hata Mwenye TV huwezi kuruhusu ukosoaji huru.
Tumeshafika hapo, hiyo haki kama iliwahi kuwepo basi haipo tena.
 
Azam wako vizuri, tatizo lao hawana vipindi vya mijadala zaidi ya kile cha Mizani ya wiki(if possible wakiongezee muda)

Tatizo la AZAM hawajaingia mkataba na ving'amuzi vingine.I wish wangeingia Mkataba na DSTV ili wengi wawe wanaona vipindi vyao.
 
Wabongo tunapenda sana kulialia mitandaoni, sasa mtu kama unatamani ujumbe unaotaka ufike kwa jamii unasababu gani ya kutaka wengine wakusemee? Kama upo bright kuliko hao unaowaita wajinga kwanini huendi kupinga wewe kwenye TV? Hayo mawazo ya kuwa tegemezi yataisha lini? Kama una mawazo yako na unayaamini kwanini unayaficha? Hayo ni mawazo yako yanakufurahisha wewe, kwanini huyo aliyetoka kwake kwenda ITV kuexpress mawazo yake unamlaumu? Kwanini unalazimisha unachokiwaza wewe ndo mwingine akiongee?????? Pale unapoona una mawazo mazuri umeyaficha mpaka yanakufa ujue utakuwa mbumbumbu kuliko mwenye mawazo ya wastani yanayo wekwa na kuisaidia jamii kwa namna moja au nyingine. Watu wanapenda kulalamika chini chini huku wanaungulia ndani kwa ndani kama pimbi. Waacheni watu waongee yanayowapa furaha wewe kama una kinyongo pambana na hali yako, muda wa majungu ulikuwa 2015 sasa hivi ni muda wa business tu.
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?

Yote ni mazuzu. Nilihamia Supersport.
 
Safi Sana man, nadhani wamekuelewa!
 
Duh, bado mnaangalia ITV poleni sana. Muda mnapata wapi?
 
Ukijaribu kuangalia ITV kwa sasa unaona kabisa imeanza kuwa kama TBC1...kwa kweli kile kipindi kilikuwa hakielezi changamoto zaidi ya kumsifu mtu mmoja tu..ITV watch out...tunawaona
 
Sasa kama watu walikuwa wanasikia tu madikteta wanavyoogopwa, nadhani wanajionea live!
 
Ma ndezi kweli wamepangwa,Wanaongea pumba tupu.
Jingine linasema wingereza kwa siku wanakufa watu elfu tano.
Aibu taifa linageuka la mandezi
Penda kusikia usiyopenda kuyasikia
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Maisha ndo yanavyokwenda, mambo kama haya ni ya kawaida sana ebu fikilia yafuatayo:
1. Rasimu ya katiba ya Warioba. CCM karibu wote hawakuitaka. Wapinzani wote waliitaka. How?
2. Bunge live, wapinzani wote 100% wanalitaka. How comes mawazo ya wapinzani wote kufanana?
3. Nyalandu kujiunga CDM. Wapinzani wote (CDM) kushangilia ujio wake. Kabla ya hapo wapinzani karibu wote walimpinga. Mawazo gani hayo ya kufanana kila kitu?
4. Ni muhimu sana kuelewa lengo la kuandaliwa kwa kipindi hicho kabla ya kusema chochote.
 
Back
Top Bottom