Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

Kwani hao unaowazungumzia wanatokea nchi gani ndugu?mie nimezungumzia Tanzania hii hii, ambayo msemaji WA chama tawala aliyezenguka nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi ya kuunda katiba mpya leo hii anadai eti sio muhimu tena; Kama mwehu hivi sasa anatuhubiria "ukatiba" sijui ndo mdudu gani!!!

Tumekuwa Taifa la wanafiki.. Kuanzia magogoni mpaka kule kwetu Rubya
Ndo maana tunashauriwa kupambana na hali zetu. Hakuna kwa kukimbilia - tulikokuwa tunakutegemea ndo wanafiki wakubwa wanakimbilia.
TUMETELEKEZWA.
 
Umenena vyema..!

Je! hili linatoa mtazamo ya kwamba asilimia kubwa ya watanzania ni weupe kichwani(uwezo wa kujenga hoja ni mdogo)..?
Hilo ndo jawabu mtu na hii kasumba ya uoga inayoendelea kupandikizwa ndo inatafuna wengi,,,,, mwangalie hata huyu Juma kaparatu mtangazaji wa Itv hua anaongoza mdahalo kwa kutokujiamn hasa akiona mtu unakosoa serikal anatoa kisemeo kwako haraka
 
ndipo tulipofikia kwa sasa kila mtu anaogopa kukosoa....anabaki kusifia wakati moyo unakosoa

Ungepata nafasi au wasaa ukafuatilia maisha yao majumbani na familia zao ukaona wanavyoteseka ungenshangaa. Inawezekana pia wameahidiwa kitu kidogo huwezi jua
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Nidhamu ya uoga na kujipendekeza akistaafu watakua wa kwanza kumnanga
 
roho ya lawama inatutafuna sana tujiulize kwanini sisi hatukwenda au nani alitaka kwenda akakatazwa?
ukweli ni kwamba humu ndani watu wengi ni waoga hawapo tayari kusema ukweli wakianikwa lakini asubuhi tunawahi kuwaalaumu waliokwenda. ndivyo inavyotokea ikifika wakati wa kupiga kura tunafanya kampeni lakini kura hatuendi kupiga mwisho wa siku tunaendelea kulalamika.
hebu tuache hii tabia tusimamie ukweli twende kama wanaume kweli kwenye vita.
 
kipindi kizima nimeangalia juu juu nilikuwa nakula. nilivutiwa kumsikiliza kaka mmoja alikuwa anaeleza changamoto alizopitia wakati anampeleka mkewe kujifungua hospitali mara daktari akadai laki moja. hakuweza kumaliza maana alikatishwa na mtangazaji kwa ajili ya mda.
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?

"If everyone is thinking alike, then somebody isn't thinking".
George S. Patton

“If we all think alike, no one is thinking.”
Benjamin Franklin
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Ndio matakatifu wetu anataka kuwa hivyo

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
siyo itv pekee wenye bahati hii, last wk niliangalia mada kama hiyo TBC -Malinyi na wachangiaji wake walikuwa wote wakisifia na bila hata kutoa takwim zozote, wachangiaji wengine waliishia kunukuu maneno Ya rais mf: kuzuia mikutano Ya siasa bila addition yoyote.

Hali hii inafanya nikose hamasa Ya kutazama local tv
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?

Mtoa Nada ni wa kushangaza kabisa
Anajilingani yeye na ng'ombe?
Ana akili za ng'ombe!!!!!!!
Ampingae magufuri kwa Nazi kubwa anayoifanya ambayo dunia inamsifia Hugo ana akili ana kama ya ng'ombe ana ni zuzu.
 
Anzisheni stesheni yenu mjikusanye mabavicha yote yanayopenda kupinga na kubishana kila siku.
Elewa kuwa kunapokuwa na mitazamo tofauti kunaleta afya ya ubongo na akili.
'If two men agree on everything, you may be sure that one of them is doing the thinking. By Lyndon B. Johnson
 
Ukiona mkuu anasema katika mkutano kuwa sukari alikuta shs. 5,000 na maprof. wa uchumi wanasimama na kupiga makofi kwamba ni kweli amefanya kazi kubwa
Jua kuwa Tumekwisha bado kidogo kuwa N. korea
 
Yaan niliangalia sikuamin kidogo balile alikua na mawazo tofauti wengne wote wanasifia kila kitu
 
Elewa kuwa kunapokuwa na mitazamo tofauti kunaleta afya ya ubongo na akili.
'If two men agree on everything, you may be sure that one of them is doing the thinking. By Lyndon B. Johnson
Wewe na huyo Lyndon wako mnaweza kwenda kuzimu. You can all go to hell.
 
Back
Top Bottom