Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,448
We hapa sio pa stori, shauri yako.
....
Mleta mada katuruhusu kuitana kupiga story, au hukumuelewa?
We hapa sio pa stori, shauri yako.
....
Kwani kiswahili chake ni kipi mkuu? Ku-socialize
Mleta mada katuruhusu kuitana kupiga story, au hukumuelewa?
Hivi darling shem man u wamepona kweli? Niliishia kwenye 2-1 sijui nini kiliendelea
Wataanzaje kupona?
Mie nimeamia leicester city
nikiri ukweli nilielewa ila msg ilichepuka. i meant k- quote yule aliyesema hatokaa achagie wkt ndo alikuwa anachangia. niombee msamaha kwa heaven sent
Hahahaaaaa!! Unamuhama mdogo wangu? Wee nitakupa talaka hata kama yeye hataki, kama namuona hata maji yalivyo machungu huko alipo, cute b pole sana mdogo wangu, huyu mumeo sio mtu mzuri kabisa.
Hamna mkuu, walaa.....
Nlitaka tu nijue kiswahili chake...
Teh teh nliishabikia kwa ajili yake kumbe timu mbovu. Uzalendo kwisha...
Mdogo wako ana mgomo na jf...
nafikiri ni kustarehe/ kubadilishana mawazo ktk hali ya furaha. ina maana nyingi ila nimetaja machache
Mweeeh shem, kwani kiapo cha kwenye shida na raha kilikuwa na ukomo? Mbona kwenye shida unamkimbia mwenzio unamuacha agugumie mwenyewe?
Shem pesa zisumbue, mke asumbue mara masikukuu yasumbue he hee na timu ikusumbuwe? akati zipo nyengine...
Nimemwambia tuhame...leicester
Hahahaaaa! Yule hahami ng'oooo, man u sijui ana hisa!!
jibu murua kabisaaaa hili jukwaa la upendoTeh kwa sababu tunapenda kuhusiana
Kule sitiagi mguu, kabisa..kwavile hamna story
Duh msianze stori hapa....
Hahahaa tutaachaje sasa while sisi tunaishi kijamaa
Anazidi tuu kupungua mwili...
Namuhurumia...
Memba wa hili jukwaa akiwa above 20, basi ujue kuna kitu.