Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hapana ila tunaheshimiana mawazo ya kila mtuina maana wote mna akili sawa au?
Hapana ila tunaheshimiana mawazo ya kila mtuina maana wote mna akili sawa au?
ina maana wote mna akili sawa au?
Teh kwa sababu tunapenda kuhusiana
KusocializeNa kuJAMIIana au kuSocialize 😀
Auuuuuuuuu
binadamu hatuko sawa tumetofatiana mawazo sasa iweje tukubaliane kwa kla ktu...
Na hata hii hatutoipuuza.
Sasa shemdarling hebu niambie, biashara umepunguza bei au bado unanilangua tu?
Iweje tutofautiane kwa kila kitu?
kwa sababu tupo tometofautiana kifikra...
Mkuu Hili jukwaa lina wachangiaji wengi ukiacha jukwaa la siasa.
Pili topic za huku ni Rahisi sana,kuliko Majukwa Mengine.haziitaji utalaam Mwingi.
Halafu kama ulivyoambiwa hapo juu,Thread ikiwa ya kipuuzi sana,Basi wadau wataitana kupiga story
Mimi sijawahi kuchangia katika hili jukwaa na Kamwe sitokuja kufanya hivyo.
hahaha.
Kusocialize
eheeeeeh kwan hapo hujachangia???!!!!Mkuu Hili jukwaa lina wachangiaji wengi ukiacha jukwaa la siasa.
Pili topic za huku ni Rahisi sana,kuliko Majukwa Mengine.haziitaji utalaam Mwingi.
Halafu kama ulivyoambiwa hapo juu,Thread ikiwa ya kipuuzi sana,Basi wadau wataitana kupiga story
Mimi sijawahi kuchangia katika hili jukwaa na Kamwe sitokuja kufanya hivyo.
hahaha.
Mkuu umevunja mbavu zangu. hapo kwan umefanya
nini? teh teh
binadamu hatuko sawa tumetofatiana mawazo sasa iweje tukubaliane kwa kla ktu...