Maajabu ya jukwaa hili yanayonitatiza

Maajabu ya jukwaa hili yanayonitatiza

nitafutie shem wangu Everlenk maana leo chelsea tumeanza kurudi kwa kasi ya ajabu..

Uwiiiii Shem nyie Hamna lolote mmemfanyia hiyana Mou wa watu,BTW hongereni sana......
 
everlenk anastress mbaya....sijui hata dinner kama aliweza kupata....

Njoo Shem langu unifariji hata kidogo yaani nililala ndo nimeamka tena hata mawazo hayajaisha.....on loan Hongera sana naona hawakuangushi.....
 
Last edited by a moderator:
...we nawe kila siku watatizwa wewe tu!...una akili nusu kisoda??
 
Njoo Shem langu unifariji hata kidogo yaani nililala ndo nimeamka tena hata mawazo hayajaisha.....on loan Hongera sana naona hawakuangushi.....

Karibu on loan....
Shem pole....pole saana .......uliweza kula? Tonight
 
Mkuu Hili jukwaa lina wachangiaji wengi ukiacha jukwaa la siasa.
Pili topic za huku ni Rahisi sana,kuliko Majukwa Mengine.haziitaji utalaam Mwingi.

Halafu kama ulivyoambiwa hapo juu,Thread ikiwa ya kipuuzi sana,Basi wadau wataitana kupiga story

Mimi sijawahi kuchangia katika hili jukwaa na Kamwe sitokuja kufanya hivyo.

hahaha.

Haaah me hata sisomagi uzi za humu hata moja siingiagi kabisa
 
Mkuu Hili jukwaa lina wachangiaji wengi ukiacha jukwaa la siasa.
Pili topic za huku ni Rahisi sana,kuliko Majukwa Mengine.haziitaji utalaam Mwingi.

Halafu kama ulivyoambiwa hapo juu,Thread ikiwa ya kipuuzi sana,Basi wadau wataitana kupiga story

Mimi sijawahi kuchangia katika hili jukwaa na Kamwe sitokuja kufanya hivyo.

hahaha.

Sasa mbona umechangia??? Hahaaa haa
 
Mimi nimeamua kupita kimya kimya, kama ntajikwaa mtaniskia!
 
Mkuu Hili jukwaa lina wachangiaji wengi ukiacha jukwaa la siasa.
Pili topic za huku ni Rahisi sana,kuliko Majukwa Mengine.haziitaji utalaam Mwingi.

Halafu kama ulivyoambiwa hapo juu,Thread ikiwa ya kipuuzi sana,Basi wadau wataitana kupiga story

Mimi sijawahi kuchangia katika hili jukwaa na Kamwe sitokuja kufanya hivyo.

hahaha.

Ndio ushachangia hivyo Leo..
 
Huku vichwa vya watu vimechacha basi full shangwe. Huku stress free mkuu
 
Hahahaaaaa!! Unamuhama mdogo wangu? Wee nitakupa talaka hata kama yeye hataki, kama namuona hata maji yalivyo machungu huko alipo, cute b pole sana mdogo wangu, huyu mumeo sio mtu mzuri kabisa.

Huyo ni shabiki andazi

Teh teh nliishabikia kwa ajili yake kumbe timu mbovu. Uzalendo kwisha...

Mdogo wako ana mgomo na jf...

mgomo kweli...acha tuuu.
Mweeeh shem, kwani kiapo cha kwenye shida na raha kilikuwa na ukomo? Mbona kwenye shida unamkimbia mwenzio unamuacha agugumie mwenyewe?

huyo hana mapenzi na mimi huyo...
Natangaza nia...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Hili jukwaa lina wachangiaji wengi ukiacha jukwaa la siasa.
Pili topic za huku ni Rahisi sana,kuliko Majukwa Mengine.haziitaji utalaam Mwingi.

Halafu kama ulivyoambiwa hapo juu,Thread ikiwa ya kipuuzi sana,Basi wadau wataitana kupiga story

Mimi sijawahi kuchangia katika hili jukwaa na Kamwe sitokuja kufanya hivyo.

hahaha.

Yaani wewe muongo hadi unajidanganya mwenyewe.
 
Back
Top Bottom