Maajabu ya East Africa Got Talent

Maajabu ya East Africa Got Talent

Hii Got Talent Franchise inayomilikiwa na Simon Cowell.., model yake sio kukuza vipaji per se..., bali ni money making
Kauli tata sana hii
It's a win win situation mkuu, kuna mamilionea wa kutosha wamezalishwa pale na wataendelea kuzalishwa kwa vipaji vyao kupitia AGT
 
Ndio kwanza inaanza ila baadae naamini tutaona tofauti na kuimba na kucheza
 
Kauli tata sana hii
It's a win win situation mkuu, kuna mamilionea wa kutosha wamezalishwa pale na wataendelea kuzalishwa kwa vipaji vyao kupitia AGT
unajua tofauti ya kukuza talent (talent nurturing na making money ?) rudia post zangu zote kuanzia mwanzo wa huu uzi naona kujibishana takuwa nafanya repetition.., kuna mwenzako alikuja na swali kama lako nimemjibu juu
 
Sijui ulitaka wafanye kama NGOs ndio ingekuwa kusaka vipaji 100%
Labda unitolee mfano wa platform inayokuza vipaji per se bila making money
Bss? American next model? Master Chief?
Kama hakuna basi ujue hivyo ndio vipaji hukuzwa na kutafutwa at the same time mtengeneza vipaji naye ana make money
Win win situation
 
Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa...

Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent...

Nikategemea tutaona vipaji vya/vyenye maajabu...kama ambavyo tunaona maajabu tofauti ambayo vipaji vyake havipati UWANJA WA KUONEKANA KWENYE TV SHOWS KAMA BONGO STAR SEARCH...AU DANCE MIAMIA CHALLENGES...Kwa sababu vipaji hivyo sio vya huko...

Badala yake kwenye EAGT tunaona vipaji vilivyotawala ni SINGING, UIGIZAJI and DANCING(ambayo kwa sasa hivi ACROBATIC imo ndani yake).

Mwanzoni nilitegemea kuwa hapa ndipo WALE WANA MAZINGAOMBWE na WACHAWI kupiga pesa...wazungu wanaita MAGICS...

Hakuna kabisa jipya...TUMECHOKA KILA MAHALI KUIMBA IMBA KUCHEZA CHEZA SEREKASI...

NOTHING NEW...TUNAHITAJI MORE THAN NORMAL TALENTS...

THOUGH Mimi sijatoa hela yangu kumchangia KUSAGA na wenzake kuyaandaa mashindano...lakini I THINK HATA WENYEWE WANAONA HELA YAO INAENDA KWA KAWAIDA SANA...

Nyie maoni yenu ni gani...
Ndiyo kwanza kimerushwa kipindi kimoja tu cha dakika 45 lakini wewe tayari umekuja na conclusion.
 
Sijui ulitaka wafanye kama NGOs ndio ingekuwa kusaka vipaji 100%
Labda unitolee mfano wa platform inayokuza vipaji per se bila making money
Bss? American next model? Master Chief?
Kama hakuna basi ujue hivyo ndio vipaji hukuzwa na kutafutwa at the same time mtengeneza vipaji naye ana make money
Win win situation
Huu mfumo sio wenye talent pekee yake kuja hata wasio na talent.., na mwisho wa siku ni prize money unapewa tofauti na kina X Factor ambacho mshindi alikuwa anapewa contract.., Narudia format ni mshindi kupata prize money...

Na ndio maana hata hakuna age restriction mtu yoyote akitaka ni platform ya kuonyesha na wasiojua pia ni sehemu ya entertainment ya Got Talent Franchise..., sijui kigumu ni kipi kuelewa hapo..., This is entertainment model for viewers na mshindi hana guarantee ya kuendelezwa kwenye kipaji chake husika zaidi ya prize money..., how he uses his gotten fame kujiendelea is another story altogether.
 
mkuu naona unaendelea upotoshaji wako

kwani xfactor hawatoi hela? tena xfactor wanatoa hela nyingi zaidi kuliko AGT, wanatoa 5m compare na 1m ya AGT,

zawadi kubwa kwenye AGT ni kupewa nafasi (banda) las vegas na kuwa na show yako, ambayo kwa muono wangu ni zaidi ya contract ya kurekodi musiki. na vipaji vya AGT hata visiposhinda vinapata contract, simon ana label yake mwenyewe, mfano callum scott amerekodi na Simon na Nyimbo yake sasa hivi ni super hit, unaweza cheki youtube inaitwa you are the reason

pengine tuelezee zaidi banda la las vegas inakuwaje,

terry fator ni mshindi wa season 2 ya AGT kama kawaida alipata 1m yake, na mwaka uliofuata akaenda las vegas kwenye hoteli ya mirage na akapewa mkataba wa miaka 5 wenye thamani ya 100m usd, hio ni around 20m kwa mwaka,

niambie wewe mkuu ni wasanii wangapi wanaweza kutengeneza 100m kwa miaka 5? tena waliotoka xfactor?

hivyo unaona show ya las vegas ni much much better compare na contract ya kurekodi mziki. unaweza earn hata mara 100 ya zawadi ya mara moja.

hapana mkuu wasiojua wote wanachujwa audition tu, akibahatika sana ataishia judge cut, ila ukianza robo, nusu mpaka fainali hutawakuta, na mtu kuwa mtoto haimaanishi kwamba eti hajui,

terry fator na paul zerdin wote wameshinda AGT kama ventriloquist lakini kwa muono wangu darci lynne (mshindi nae) ni much better compare na hao japo darci ni kitoto tu, hivyo kusema kwamba wanakubali watoto ni dalili kwamba hawajui ni either huangalii hizi show ama una tatizo lako binafsi na watoto.

angalia golden buzzer perfomance ya darci then niambie kuruhusu watoto ni weakness?

Mkuu nina mashaka na uelewa wako..., unameleta story nyingi ambazo hazina msingi...., X-Factor aim yake ilikuwa kwenye music talent ya mziki mshindi kupewa contract ya kipaji husika music..., hio ni kusaidia kukuza takent ya huyo mwanamuziki kwa kumsaidia kunurture talent yake mpaka kwenye mauzo.., suala la simon kutoa contract kwenye label yake nimelisema hapo juu akiona unafaa na anaweza akamonitize talent yako anakuchukua

still mkuu nina mashaka na understanding capacity yako..., X-Factor na show kama hizo ni nurturing talent ya music ambapo unapewa contract na usimamizi wa talent yako..mtu ametengeneza ngapi au kutumia kipaji chake kupata nini hio ni beside the point...

AGT also promises “a headline show in Las Vegas” as part of the prize package. That’s nothing more than performing as the final act in a variety show on Nov. 3 and Nov. 4 at the PH Showroom at Planet Hollywood Resort & Casino.

Only a handful of AGT winners have gone on to successful entertainment careers. Season 2 winner, ventriloquist Terry Fater, and magician Matt Franco, who won Season 9, signed lucrative deals for their own shows in Vegas.

But singers who won the show – including Bianca Ryan, Neal E. Boyd, Kevin Skinner, Landau Eugene Murphy – have failed to cash in on their AGT success. Last season’s winner Grace VanderWaal has a debut album coming out in November.

Still mkuu tunazunguka tu..., this is entertainment that's the bottom line na ni entertainment watu kuangalia na kuwacheka wasiojua.., as well as wanaojua..., na wasiojua ni part and parcel ya GOT Talent... na inaonyesha vipi uelewa wako ni mdogo..., nani kasema kuchukua watoto ni weakness.., au nani kasema hii show ni weakness ? above all kuchukua watoto ndio vema sababu kuna muda mrefu wa kunurture vipaji vyako.., nimesema hakuna age restriction nikimaanisha hata mzee wa miaka mia moja ambaye haitaji kukuza kipaji bali anakuja kwenye platform kuonyesha kipaji (one ni nurturing kipaji the other ni showcasing kipaji)

Naona kila tunavyoendelea unaongeza point ambazo hazipo kwenye mjadala na kunilisha maneno..., Point kuanzia mwanzo ni kwamba hii sio show ya kukuza vipaji per se..., ni entertainment platform ambayo ni money making... (be it kwa waleta show au wanaokuja kwenye show) na wasiojua pia ni part ya entertainment ya hii show...
 
Mfano mkuu hii Ni form ya AgT

Auditions
Judges cut
Robo fainali
Nusu fainali
Fainali

Kwenye auditions anakuja Kila mtu, mkichaa, mwanamuziki, ombaomba, Teja, wanamazingaombwe etc. Then wanachujwa

Judges cut unapata mchujo wa pili.

Robo fainali wanaanza Kushindana na Mashabiki wanavote, Hali inaendelea nusu mpaka fainali

Unachoforce wewe ni kusema Ni entertainment na Watu wanachekwa na blah blah nyengine za auditors, hivyo Ni vitu vinatokea kwenye auditions, stage ya Kwanza ya mashindano, baada ya Hapo havipo Tena, huwezi kuta mtu nusu fainali ama fainali anachekwa eti Hana kipaji, kule Kila mtu anajua.

Na mfumo huu hata huko xfactor pia upo maana auditions Kuna Kila aina ya watu si wote Wana vipaji.

Kuhusu Las Vegas ukishapewa show ukashindwa mwenyewe kutoka hayo Ni madhaifu yako ulishawezeshwa tayari, Kama vile xfactor unaweza ukapewa contract ya kurekodi album na ukaflop.
 
Saa ngapi nawaonyesha huko citizen nami niangalie?
Siku hizi show karibia zote za got talent zinaoneshwa na chanel ya Got talent global YouTube, mfano EAGT episode ya Kwanza hii Hapa

Ilikuwa uploaded siku 6 zilizokuwa kuanzia kesho episode ya 2 itakuwa hewani.
 
Mfano mkuu hii Ni form ya AgT

Auditions
Judges cut
Robo fainali
Nusu fainali
Fainali

Kwenye auditions anakuja Kila mtu, mkichaa, mwanamuziki, ombaomba, Teja, wanamazingaombwe etc. Then wanachujwa

Judges cut unapata mchujo wa pili.

Robo fainali wanaanza Kushindana na Mashabiki wanavote, Hali inaendelea nusu mpaka fainali

Unachoforce wewe ni kusema Ni entertainment na Watu wanachekwa na blah blah nyengine za auditors, hivyo Ni vitu vinatokea kwenye auditions, stage ya Kwanza ya mashindano, baada ya Hapo havipo Tena, huwezi kuta mtu nusu fainali ama fainali anachekwa eti Hana kipaji, kule Kila mtu anajua.

Na mfumo huu hata huko xfactor pia upo maana auditions Kuna Kila aina ya watu si wote Wana vipaji.

Kuhusu Las Vegas ukishapewa show ukashindwa mwenyewe kutoka hayo Ni madhaifu yako ulishawezeshwa tayari, Kama vile xfactor unaweza ukapewa contract ya kurekodi album na ukaflop.

Let me break it down ins simple terms...
Moja hapa kuanzia mwanzo sikuongelea nani zaidi.., ila nimemuonyesha mleta uzi utofauti wa Shows kama X Factor na Got Talent.., shows kama x-factor ukishinda contractually apart from money ni contract ya kile unachokifanya na kuimbia label husika hapo inaendana na mentoring ya kipaji chako...

Got Talent ni mashindano ya watu wowote wanajiona wana kipaji kushindanisha vipaji vyao.., ukishapewa mshiko wako mwisho wa siku hakuna any contractual agreement ya kile unachokifanya..., au kushinda kwako au kushindwa sio necessarily faida ya label..

Na uzuri Got Talent model ni anybody goes hata ukiwa na miaka 100 (jambo ambalo label haiwezi ku-capilize maendeleo yako) ila bado utakwenda as utatoa entertainment on the given day on the show... (ukitoka ukaenda kufa its up to you ..(the show does not direct gain from your success tofauti na nyingine ukiuza albums wanakula commission zao...

Kwahio hata watu wenye wasio na vipaji ila wana vutia audience (audience likeability) wanaweza kupitishwa... ingawa hawawezi kushinda...., ... (Just like Apprentice kupitisha watu ambao ni good Television.., not boring..) and preliminaries pia ni part of the show

Kwahio tukirudi mwanzo wa huu mjadala ambao tumeurefusha bila sababu za msingi narudia.., Got Talent Franchise sio platform ya kukuza talent per se..., talent exposure yes...., na show nyingine ambazo ukipita unapewa coaching na ushauri (mfano x -factor na nyingine) they are show za kukuza talent...

NB: It does not mean one is better than the other.., infact GOT Talent inaweza ikawa more entertaining sababu ya vituko vingi..
 
Mkuu Hapa nimekuelewa zaidi lakini still napinga Hilo suala kwamba AGT haikuzi vipaji.

Si Kila kipaji kinahitaji kocha, unaweza kuwa mwanamuziki mzuri hata Kama huna kipaji, kukawekwa autotune na mazingira Fulani ukatoka.

Kuna wasanii duniani akiimba live unaweza ukakimbia ila wenye vipaji Ni sound engineer wao ambao wanajua wafanye Nini wasikike vizuri.

Kwenye GT Ni tofauti, hebu chukulia mfano mtu Kama Kseniya simonova Sand Artist, pengine yeye ndio best in the field, hahitaji mafunzo Bali anahitaji vifaa vya kisasa, exposure, na Mambo mengine anayopata,

Kama alikuwa anatumia meza local, watu wanamzunguka na kuangalia, akaja got talent akapewa ushauri wa kisasa meza transparent yenye camera Kila angle, background nzuri na kuproject kazi yake mamilioni ya watu wanaangalia hujamsaidia kipaji chake?

Usikariri ku nurture talent mpaka uwe na kocha sijui mkae kambini etc.

Vipaji Ni vitu complicated Sana Kuna watu vipaji vyao havifundishwi wanahitaji tu kuwezeshwa namna ya kuvipresent na kuvitransform viwe vya kisasa ama viuzike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom