Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,612
- 10,667
Kwenye entertainment shows zote lengo la kwanza la waendeshaji ni ku make money.....so no need to mention that. Iwe x factory or whateverLet me break it down ins simple terms...
Moja hapa kuanzia mwanzo sikuongelea nani zaidi.., ila nimemuonyesha mleta uzi utofauti wa Shows kama X Factor na Got Talent.., shows kama x-factor ukishinda contractually apart from money ni contract ya kile unachokifanya na kuimbia label husika hapo inaendana na mentoring ya kipaji chako...
Got Talent ni mashindano ya watu wowote wanajiona wana kipaji kushindanisha vipaji vyao.., ukishapewa mshiko wako mwisho wa siku hakuna any contractual agreement ya kile unachokifanya..., au kushinda kwako au kushindwa sio necessarily faida ya label..
Na uzuri Got Talent model ni anybody goes hata ukiwa na miaka 100 (jambo ambalo label haiwezi ku-capilize maendeleo yako) ila bado utakwenda as utatoa entertainment on the given day on the show... (ukitoka ukaenda kufa its up to you ..(the show does not direct gain from your success tofauti na nyingine ukiuza albums wanakula commission zao...
Kwahio hata watu wenye wasio na vipaji ila wana vutia audience (audience likeability) wanaweza kupitishwa... ingawa hawawezi kushinda...., ... (Just like Apprentice kupitisha watu ambao ni good Television.., not boring..) and preliminaries pia ni part of the show
Kwahio tukirudi mwanzo wa huu mjadala ambao tumeurefusha bila sababu za msingi narudia.., Got Talent Franchise sio platform ya kukuza talent per se..., talent exposure yes...., na show nyingine ambazo ukipita unapewa coaching na ushauri (mfano x -factor na nyingine) they are show za kukuza talent...
NB: It does not mean one is better than the other.., infact GOT Talent inaweza ikawa more entertaining sababu ya vituko vingi..
Contract kwa mshindi sio kigezo kwamba wako kutafuta vipaji per se na wasio toa contract hawako kutafuta vipaji per se
Platform wanayoipata pale ni zaidi ya contract, na ndio maana wapo washindi kwenye vipaji wanashinda na kupewa contract na wanafeli lakini wa chini yao ambao hawakushinda wanatoboa mbali sana
Wapo washindi kibao AGT wamepata mafanikio zaidi ya waliopewa contract baada ya kushinda
Narudia tena contract sio msingi mkuu kwamba unalengo la kendeleza vipaji au la
Msingi mkuu ni nafasi wanayopata washiriki kwa kupata fursa, swala la kuhimili kuendeleza vipaji zitabaki juhudi za muhusika ama awe na contract au hana