Maajabu ya East Africa Got Talent

Maajabu ya East Africa Got Talent

Hii Got Talent Franchise inayomilikiwa na Simon Cowell.., model yake sio kukuza vipaji per se..., bali ni money making business.., ingawa wachache akiwaona wanafaa anaweza kuwachukua na kuwapa contract hence more money..,

Waliamua kuita talent na sio kama vipindi vingine x factor, n.k. ili kuwe na pool kubwa la watu wengi kuingia thus mara nyingine sio tu kuona vipaji bali watu wanafurahia jinsi watu wasivyo na vipaji..

Kwahio mkuu hii above all else ni reality show ambayo ni money making, sidhani kama Azam au Clouds wanaimiliki bali ni wadau tu.., na mwisho wa siku haupangiwi kipaji yoyote yule na chochote kile anaweza kwenda kama atapitishwa na majaji.., na mwisho wa siku huwa wanapiga sana pesa kwenye voting za simu
ahsante sana kwa kuigusia show ya X factor naipenda sana asee pale kuna vipaji vizuri sana vya uimbaji ni moj ya show namba moja nayoifatilia miaka hii imepoa tofauti na miaka ya 2015,2016,2017 na mika ya nyuma kidogo kwa wale wapenzi wa live show/band hutojutia kutoa pesa yako
 
Hii Got Talent Franchise inayomilikiwa na Simon Cowell.., model yake sio kukuza vipaji per se..., bali ni money making business.., ingawa wachache akiwaona wanafaa anaweza kuwachukua na kuwapa contract hence more money..,

Waliamua kuita talent na sio kama vipindi vingine x factor, n.k. ili kuwe na pool kubwa la watu wengi kuingia thus mara nyingine sio tu kuona vipaji bali watu wanafurahia jinsi watu wasivyo na vipaji..

Kwahio mkuu hii above all else ni reality show ambayo ni money making, sidhani kama Azam au Clouds wanaimiliki bali ni wadau tu.., na mwisho wa siku haupangiwi kipaji yoyote yule na chochote kile anaweza kwenda kama atapitishwa na majaji.., na mwisho wa siku huwa wanapiga sana pesa kwenye voting za simu
Mkuu si kweli, ukifanya vizuri Got talent umetoka kimaisha, winners wa AGT wote ni mamilionea. Wengine hata sio washindi pia wanafanya vizuri sokoni, ile promo unayopata mule si ya kitoto.

Ni win win situation, waandaaji wanapata Hela na washiriki wanapata promo za vipaji vyao.
 
Elimu yetu Africa mashariki haipo kwa ajili ya kuandaa vipaji, Vile vipaji vya AGT havijaibuka tu km uyoga,viliandaliwa ktk mifumo yao ya elimu kuanzia low hadi high school and college
Vipaji AGT vinatokana na Umaarufu wa show, vipo vipaji kibao hata origin yake sio USA, watu Kama Kenichi, Shin Lim wameshinda AGT na Wala sio Wamarekani.

Kama unafungua Show hata Hapa Tanzania na inakuwa maarufu na kuangaliwa world wide watu watasafiri popote duniani na kuja kufanya Audition Hapa.
 
Kipaji cha kutoa ya moyoni sio kama wewe unaona hakuna jipya halafu bado unataka kutetea ujinga..kiukweli alivyotegemea jamaa hadi mimi nilitegemea hivyo kuimba tumeshazoea Bongo star search tangu 2006 tunaangalia kuimba tu hadi EAGT tena hiyo michosho sasa
Mimi pia ni miongoni mwa watu wasiolidhika na show iliyoanza Jana labda kwa vile ndio Episode ya kwanza huenda huko mbele kukawa Talent kwa maana halisi ya hilo Neno ukiacha wale watoto wa kiGANDA sikuona kingine cha Zaidi
 
Angalia kupitia K24 ya Kenya kila jumapili kuanzia 2030hrs
naipenda american got talent huwaga naangalia you tub je kwa hapa bongo inaonywesha kwenye king'amuzi gani na channell ipi??????
 
Mkuu si kweli, ukifanya vizuri Got talent umetoka kimaisha, winners wa AGT wote ni mamilionea. Wengine hata sio washindi pia wanafanya vizuri sokoni, ile promo unayopata mule si ya kitoto.

Ni win win situation, waandaaji wanapata Hela na washiriki wanapata promo za vipaji vyao.
Mkuu rudia nilichoandika na kama haujaelewa niulize.., Model yake sio kukuza vipaji per se..., maana yake ni nini ? Simon alikuwa involved kuanzia mwanzo na X Factor.., na Idol ambazo ndio zilikuwepo mwanzoni na zilikuwa mahususi kwa music talent peke yake na washindi kupewa recording contract...

Baada ya hapo akaona fursa na kuweka hii got talent ili mtu yoyote aweze kuingia hivyo pool ni kubwa na watu wengi waweze kuangalia... (that's my point) pale wanaoangalia sio tu ujuzi bali hata comedic values.., na mara nyingi kuongeza vionjo ile tabia ya Simon ku-crash washiriki..

Sasa aliyesema mtu akishiriki hatoki ni nani ?,This is beside the point wala sijaiongelea anyway na kuhusu kutoka ...
Who will win the 13th season of America’s Got Talent? Only one lucky contestant will take home the $1 million grand prize and a headlining performance in Las Vegas when the winner is announced on September 19.
While taking home top honors on the popular reality show might win you bragging rights, it’s not necessarily a ticket to fame and fortune. For one, that $1 million prize is actually paid out in 40 yearly installments of about $25,000 a year, or in a lump sum of about $300,000 – all before taxes. And as far as post-AGT careers, it’s a mixed bag. Some winners (and losers) and done quite well, releasing top-selling albums or headlining Vegas shows, but others are barely footnotes in pop culture history.
Source; https://www.cheatsheet.com/entertai...icas-got-talent-contestants-of-all-time.html/
 
Mkuu rudia nilichoandika na kama haujaelewa niulize.., Model yake sio kukuza vipaji per se..., maana yake ni nini ? Simon alikuwa involved kuanzia mwanzo na X Factor.., na Idol ambazo ndio zilikuwepo mwanzoni na zilikuwa mahususi kwa music talent peke yake na washindi kupewa recording contract...

Baada ya hapo akaona fursa na kuweka hii got talent ili mtu yoyote aweze kuingia hivyo pool ni kubwa na watu wengi waweze kuangalia... (that's my point) pale wanaoangalia sio tu ujuzi bali hata comedic values.., na mara nyingi kuongeza vionjo ile tabia ya Simon ku-crash washiriki..

Sasa aliyesema mtu akishiriki hatoki ni nani ?,This is beside the point wala sijaiongelea anyway na kuhusu kutoka ...

Source; https://www.cheatsheet.com/entertai...icas-got-talent-contestants-of-all-time.html/
Mkuu comedic value sio ujuzi? Hivi mtu Kama mpoki Hana kipaji?
 
"Watu wanaangalia pia sababu ya comedic value, sio kuchekeshwa tu bali kucheka wale wasiojua)" Kwahio point yangu ni kwamba watu wana-tune sio kuona tu vipaji ambavyo comedy ni one of them, bali pia kucheka wasiojua yaani sio kuchekeshwa.., bali kucheka.. (hence Simon kuweka vionjo vyake vya ku-Crash watu na kuwatoa Nishai...)

Sasa aliyesema Comedy sio ujuzi ni nani ?
 
"Watu wanaangalia pia sababu ya comedic value, sio kuchekeshwa tu bali kucheka wale wasiojua)" Kwahio point yangu ni kwamba watu wana-tune sio kuona tu vipaji ambavyo comedy ni one of them, bali pia kucheka wasiojua yaani sio kuchekeshwa.., bali kucheka.. (hence Simon kuweka vionjo vyake vya ku-Crash watu na kuwatoa Nishai...)
Still mkuu hata Kama watu wanatune kwa ajili hio Ni kundi dogo tu la watu, majority ya watu wanafuata vipaji, na Kama unavyojua mshindi anapatikana kwa kupiga kura, na sababu watu wanapenda zaidi vipaji ndio maana huoni hao unaosema Wana "comedy" wakifika popote.

Hata sisi tunaoangalia mpira sometime mtu anaweza kupaiza penalty tukacheka Banda zima, haimaanishi mpira wa miguu watu wanaangalia kwa ajili ya comedy, Bali inatokea tu.
 
Hapa tutakesha....

Moja this is a Reality show ambayo inaonyesha uhalisia wa watu kuja kuonyesha talent zao (na kutokana na wingi wa watu majority huwa hawana talent yoyote).., kwahio preliminary stages ya induction ambayo huwa wanapita mikoa sehemu tofauti wengi wao huwa wanachujwa na hapa ndio huwa kuna vichekesho watu wasivyojua.., na hii pia sio bahati mbaya ni part of design na selling point pia..., kuona how bad some people are.., ingekuwa hii haitakiwi wana uwezo wa kuziondoa hizo preliminaries sababu hii sio live ni recorded.., mwishoni baada ya mchujo ndio huwa wanapita wachache..

Ndio maana kuanzia mwanzo nikatoa perspective ya business model ya Got Talent and How it came about.., jamaa anashangaa watu wasivyojua.., ila hao wasiojua ni part ya design ya Got Talent.., sababu people tune kuona madudu as well as talent..,

Hata kwenye mpira kuna videos huwa zinaitwa Bloopers zinauza sana na zinapendwa sababu zinaonyesha vituko na maajabu.., selling point ya hizo bloopers sio umahili bali ni vice versa.., kwahio preliminary stages comedic value ya wasiojua ni part and parcel ya design ya Got Talent... (that's why Simon the Judge is one of the Star.., only because ya kuwachachafya washiriki na kuwatoa nishai)
 
Iwe reality show au movie napenda sana kuona behind the scenes kwangu humaanisha uhalisia na kipaji halisi zaidi ya kile kinachoamuliwa na watu wachache kije kitazamwe na watu wengi.
 
Hapa tutakesha....

Moja this is a Reality show ambayo inaonyesha uhalisia wa watu kuja kuonyesha talent zao (na kutokana na wingi wa watu majority huwa hawana talent yoyote).., kwahio preliminary stages ya induction ambayo huwa wanapita mikoa sehemu tofauti wengi wao huwa wanachujwa na hapa ndio huwa kuna vichekesho watu wasivyojua.., na hii pia sio bahati mbaya ni part of design na selling point pia..., kuona how bad some people are.., ingekuwa hii haitakiwi wana uwezo wa kuziondoa hizo preliminaries sababu hii sio live ni recorded.., mwishoni baada ya mchujo ndio huwa wanapita wachache..

Ndio maana kuanzia mwanzo nikatoa perspective ya business model ya Got Talent and How it came about.., jamaa anashangaa watu wasivyojua.., ila hao wasiojua ni part ya design ya Got Talent.., sababu people tune kuona madudu as well as talent..,

Hata kwenye mpira kuna videos huwa zinaitwa Bloopers zinauza sana na zinapendwa sababu zinaonyesha vituko na maajabu.., selling point ya hizo bloopers sio umahili bali ni vice versa.., kwahio preliminary stages comedic value ya wasiojua ni part and parcel ya design ya Got Talent... (that's why Simon the Judge is one of the Star.., only because ya kuwachachafya washiriki na kuwatoa nishai)
Na tutakesha kweli sababu Mimi sijakataa kwamba hivyo vitu havipo Ila ninachopinga Ni main theme ya hio show Ni kuonyesha vipaji na naweza kulist watu zaidi ya 100 ambao from zero wamekuwa heroes.

Na Kama wewe ni muangaliaji wa hizi show turning point ya Simon kufanikiwa Ni pale Susan Boyle alipopanda kwenye stage, mama mtu mzima, sura isiyovutia, Hana shape Kama models kifupi Hana mvuto. Mashabiki pamoja na baadhi ya majaji walishamdharau lakini baada ya show Kila mtu akasimama kumpongeza. Video yake hii Hapa.

From there watu mbalimbali duniani wakawa inspired na huyo mama na wakawa wanajisajili show mbalimbali,

Na ninavyoelewa kwenye got talent hao watu unaosema wanatumia kuchekesha Ni kwa ajili ya build up ya mtu mwenye kipaji.

Chukulia mfano huu, msimu mmoja wanaweza kuja wapiga sarakasi 10, Kati ya hao watatu wakafanya vibaya na 1 akafanya vizuri Sana. Hivyo wanaporekodi show wataonyesha wale watatu waliofanya vibaya Sana ili kujenga hype ya video watakayoionyesha ya anaefanya vizuri.
 
naipenda american got talent huwaga naangalia you tub je kwa hapa bongo inaonywesha kwenye king'amuzi gani na channell ipi??????
Kuna yule jamaa mmoja anaitwa alex huwa ana magic hatari aisee

Similar Discussions

Back
Top Bottom