Ndiyo maana wapo wanaodai kuwa dawa za meno zinaweza kusababisha cancer kwa sababu nyingine zina kitu inaitwa
sodium lauryl sulfate ambayo inapatikana pia kwenye shampoo na products nyingine za kufanyia usafi.
Zinduna anaposema kuwa dawa za meno zinaweza kusafisha vipuli, michoro ya watoto ukutani, kusafisha kucha na k
uondoa mabaka kwenye meza na sakafu hakukosea kwa sababu zina sodium lauryl sulfate.
Inadaiwa kuwa sodium lauryl sulfate yenyewe haisababishi cancer, bali pale tuu inapojichanganya na kemikali nyingine kama
carcinogen (ile ambayo inafanya usikie mdomo wako ukiwa fresh baada ya kupiga mswaki).
Kama ulisoma ule uzi wangu wa Colgate Total na cancer utajua madhara ya carcinogen:
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/707605-colgate-total-ni-salama-au-inasababisha-kansa.html
Pia zamani makampuni yalikuwa yanaweka
chloroform kwenye dawa za meno kabla ya kupigwa marufuku kufanya hivyo. Hata hivyo, inadaiwa kuwa makampuni haya bado yanaweka hii kitu kwenye hizo dawa lakini kiana kupitia triclosan!
Tafiti zinadai kuwa triclosan inavunjwavunjwa kwa njia za kikemikali na kuwa chloroform pale inapokutanishwa na chlorine kupitia maji.
Chloroform inasababisha wanyama kuzaa viumbe wenye ulemavu. Kwa binadamu tafiti zinadai kuwa chloroform inasababisha cancer ya ini.
But who knows, pamoja na utamu aliosema
watu8, labda dawa ya meno ikiwekwa ndani ya
kipochi manyoya na kufanikiwa kuingia mpaka sehemu ya uzazi inaweza kumfanya mwanamke ajifungue mtoto mlemavu?
Kumbuka utawala ya Hitler chini ya NAZI na Dkt Joseph Mengele walikuwa wanatumia chloroform kuua watu mara moja kwa kuidunga kwenye moyo: soma
Medical Killing and the Psychology of Genocide: The NAZI Doctors by R.J. Lifton