Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,660
- 23,140
Bibi we uchawini huku wacha tufunguke tu. Kama wanaingia wtt ndo shughuli. Lol
Last edited by a moderator:
Sisi wakati huo twasoma boding skuli, tulikuwa twatumia dawa ya meno kufoji stampu za posta kufuta ile mihuli iliyokuwa ikigongwa na posta...
![]()
nitajaribu kufanya hivyo kidevuni, maana nimenyoa ndevu baada ya miaka 10 sasa hayo mapele balaa....
wajua sijanyo mandevu miaka kama 8 hivi, sasa juzi kati nikapatwa na kama kipele hivi nikashauriwa nyoa sasa balaa lake hapo kaka....!hayo mapele hata mimi yalinisumbua sasa natumia after shave fulani inaitwa bump patrol kwisha niko poa kidevu kama cha mtoto mchanga
Bibi we uchawini huku wacha tufunguke tu. Kama wanaingia wtt ndo shughuli. Lol
wajua sijanyo mandevu miaka kama 8 hivi, sasa juzi kati nikapatwa na kama kipele hivi nikashauriwa nyoa sasa balaa lake hapo kaka....!
Sisi wakati huo twasoma boding skuli, tulikuwa twatumia dawa ya meno kufoji stampu za posta kufuta ile mihuli iliyokuwa ikigongwa na posta...
![]()
Dawa ya meno pia husaidia kuondoa mikwaruzo kwenye CD. weka kidogo kwenye pamba then sugua taratibu in circular motion.
Hata maji yake, unaoshea kwa bwamku au bimku. Lkn uyachemshie izo karafuu. Au mke anaweza kutafuna kdg then akafanya blow job. Au hata pipi Kali zile zenye mint
Wala siyo maajabu bali ni wewe kutoshughulisha ubongo wako.
Niambie unaponunua dawa ya meno huwa unasoma ingredients zake?
Unazijua hizo ingridients au ulishawahi hata kuzi-google ujue faida na madhara yake?
dah pole sana mkuu next time ukinyoa jaribu hiyo after shave vipi ulivyonyoa ulijisikia mwepesi eeh!
Zile hazina madini ya floride....hazitafaa
Sie tunaoswaki kutwa mara sita tumeshakufa!
Hongera kwa ubongo fresh ungekuwa wa kununua na mi ningenunua huo fresh ka wako lkn kwa kuwa unatoka kwa Mungu tumepewa sawa na mapenzi yake. Shukuru we uliyepewa fresh na unaushughulisha. Tunaelimishana na kufumbumbuana mkuu sio kupondana.
Mungu hakukupa ubongo ukae nao tuu bali uutumie ipasavyo kwa faida yako na wengine.
Vingenevyo, usingeitwa binadamu.
Shauri ake mlango watavunja pm huko hahahahaha lol subir nimchokoze ati Angel Nylon somo yako nan
Mi somo zangu wawili, mmoja mbibi mwengine mmama shangingi, lol
Sisi wakati huo twasoma boding skuli, tulikuwa twatumia dawa ya meno kufoji stampu za posta kufuta ile mihuli iliyokuwa ikigongwa na posta...
![]()