mabesela
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,294
- 680
Pia dawa ya meno inaongeza nguvu za kike
nijuze hii imekaaje
Pia dawa ya meno inaongeza nguvu za kike
Sisi tulikuwa tunaweka kwenye jipu liwai kuiva.Jombaa ukiweka uck asubuhi mtumbueni.Sasa sijui hizi za siku hizi zinafaa?.Sisi wakati huo twasoma boding skuli, tulikuwa twatumia dawa ya meno kufoji stampu za posta kufuta ile mihuli iliyokuwa ikigongwa na posta...
![]()
Bado watu huweka...Sisi tulikuwa tunaweka kwenye jipu liwai kuiva.Jombaa ukiweka uck asubuhi mtumbueni.Sasa sijui hizi za siku hizi zinafaa?.
Hii ni kweli kabisa, nimejaribu na inafanya kazi.Pia husafisha taa za gari zilizofifia, paka kidogo kidogo kwenye taa isubiri kama dakika tano ikauke, chukue vimaji kidogo na kitambaa au mswaki uliotumika sugua taratibu hadi litoke povu, chukua maji masafi ondoa like povu la ile dawa utashuhudia muujiza uliofanywa na ile dawa.
Hata kama rangi ya gari ambayo mkwaruzo haujachimba sana.Dawa ya meno pia husaidia kuondoa mikwaruzo kwenye CD. weka kidogo kwenye pamba then sugua taratibu in circular motion.