Maajabu ya dawa ya meno haya hapa

Maajabu ya dawa ya meno haya hapa

Sijawahi kuchunguza haswa ni ingredient gani yenye kuleta ile hali ya ujoto...huenda ikawa ni uwepo wa karafuu.

Ila hapo kwenye matumizi ya karafuu bila shaka iwe ni mafuta yake na si unga wake...

Hata maji yake, unaoshea kwa bwamku au bimku. Lkn uyachemshie izo karafuu. Au mke anaweza kutafuna kdg then akafanya blow job. Au hata pipi Kali zile zenye mint
 



Kuondoa shombo la samaki au kitu chochote chenye harufu kali kama vile kitunguu thomu.
kwa kusafisha, minya dawa ya meno kidogo tu kwenye viganja vya mikono yako kasha tapakaza mikononi mpaka katikati ya vidole kwa ustadi kabisa kisha nawa mikononi yako vizuri na wala huhitaji sabuni ya manukato wala nini, nawa na maji safi na harufu mbaya itakuwa imetoweka


1685617_top2010202_jpeg0e687a2edd21d16fb0f36a00d15798d4



Kusafishia vipuli kama vile vya fedha au dhahabu, bibi yangu binti Hamdani wala alikuwa hahangaki kwenda kwa sonara kusafisha dhahabu zake. Kwa kutumia dawa ya meno, dhahabu zake zilikuwa zinabaki na mng'ao kama vile ni mpya kabisa


1685627_remove-crayon-with-toothpaste_jpeg3d0a93c719a3a2a9af84bfdc026bf72d


Kuondoa madoa doa ukutani au michoro ya watoto ukutani. Ukiwa na watoto wadogo usitarajie nyumba yako kubaki na unadhifu ule ule kama awali kabla ya kuwa na watoto. watoto wadogo kuchafua sana kuta za nyumba, lakini sasa kuna suluhisho, nalo ni dawa ya meno ya aina yoyote inaweza kabisa kusafisha ukuta na kuufanya ung'ae kama mwanzo


1685659_apply-toothpaste-on-pimples_jpeg4b238cbefbbd8b9bdf227b1ce53d0329


Kuondoa mabaka mabaka ya chunusi au makovu ya magonjwa ya ngozi, inaweza kuwashangaza wengi, lakini nawashauri mjaribu. Ili kuondoa tatizo hilo ni vyema mtu mwenye tatizo hilo akatumia dawa hii usiku. kinachotakiwa kufanya ni kupaka dawa ya meno kwenye maeneo yaliyoathirika na mabaka mabaka ya chunusi au maradhi ya ngozi kabla ya kulala halafu asubuhi unasafisha uso wako vizuri na utashangazwa na maajabu ya dawa ya meno. unaweza kufanya zoezi hilo kwa wiki moja kisha uje hapa kutoa ushuhuda.



1685677_neil20care_jpeg5f8409d6859e7f4ef7226689e5d67e1b


Kusafishia kucha. Kama mlikuwa hajui, ni kwamba hakuna tofaui ya kucha na meno, kile kilichotumika kutengenzea meno ndicho hicho hicho kilichotumika kutengenezea kucha, kwa hiyo kama meno yanaweza kusafishwa na kuachwa imara na dawa ya meno, seuze kucha. hebu jaribuni muone maajabu haya ya dawa ya meno. Ndugu yangu lara 1 jaribu maajabu haya upendezeshe kucha zako shosti


1685715_remove-white-rings-from-furniture_jpeg81265b6305b91cb46cfbfaae2927622a


Kuondoa abaka mabaka kwenye meza zetu. sina maneno mengi, jaribuni muone, paka dawa ya meno kwenye kijitaulo kisha sugua kwa umahiri mkubwa, utashangazwa na maajabu ya dawa ya meno.

CC:
Munkari, MankaM, DEMBA, BADILI TABIA, snowhite, Fixed Point Arabela, farkhina, KOKUTONA, Paloma, sister, Ennie, miss chagga, miss neddy, Karucee

Ingawa ulisahau kuniita kwenye huu uzi, ngoja nikafanye majaribio... Next week nitakuja na jibu

Lakini hujaspecify ni dawa ya mswaki aina gani, make siku hizi kuna FAMILYDENT, WHITEDENT, RUNGU NK.
 
Hata maji yake, unaoshea kwa bwamku au bimku. Lkn uyachemshie izo karafuu. Au mke anaweza kutafuna kdg then akafanya blow job. Au hata pipi Kali zile zenye mint

Bi mkubwa taratibu kidogo wajua siye watu wa pwani tukianza anika habri zetu hapa tutazua mtafaruku wa moyo kwa wengine...

Mambo kama haya Mkurya wa Kyabakari atayajulia wapi....teh teh teh!!!
 
Douta ndio nini kukoti lisredi lote hilo kwa kakomenti kafupi hivyo...ntakuchapa!!!

Ingawa ulisahau kuniita kwenye huu uzi, ngoja nikafanye majaribio... Next week nitakuja na jibu

Lakini hujaspecify ni dawa ya mswaki aina gani, make siku hizi kuna FAMILYDENT, WHITEDENT, RUNGU NK.
 
Tnx Zinduna nlikua najua moja tu hiyo ya whitening kucha ila matumizi ya kuondoa harufu hapo umenifurahisha sana
 
Last edited by a moderator:
Halafu pia wakati wa mechi za ugenini hii makitu ya dawa za meno ni muhimu sana...

Unaichukua kidogo sanaaaa halafu unaipaka juu ya abdala kichwa wazi...

Mwanawane hii makitu ukishaipaka halafu ukaizamisha kunako kipochi manyoya...

Luuuh binti lazima aing'ang'anie ndude maana inatengeneza kitu kama muwasho hivi na kijoto flani kama kile cha viksi ikitiwa puani....

Hahahaha nimecheka sana una balaa wewe
 
Halafu pia wakati wa mechi za ugenini hii makitu ya dawa za meno ni muhimu sana...

Unaichukua kidogo sanaaaa halafu unaipaka juu ya abdala kichwa wazi...

Mwanawane hii makitu ukishaipaka halafu ukaizamisha kunako kipochi manyoya...

Luuuh binti lazima aing'ang'anie ndude maana inatengeneza kitu kama muwasho hivi na kijoto flani kama kile cha viksi ikitiwa puani....

Pia kwa mwanaume atasikia muwasho fulani hivi kama akilambwa koni na mwanamke aliyetoka tuu kupiga mswaki na dawa ya meno.

Lakini traces za fluoride calcium na phosphates kwenye mdomo zinaweza kusabisha kuwashwa vibaya kwa kipochi manyoya kwa sababu kipochi manyonya ni delicate zaidi kuliko mdomo.

Triclosan iliyoko kwenye dawa ya meno unaua bakteria mdomoni. Logically, kama utatumia dawa ya meno ndani ya kipochi manyoya itaua bakteria hata wale ambao hawatakiwi kuuawa!

Hii haina tofauti na wale wanaoshauri kutoosha kipochi manyoya kwa sabuni kwa sababu zinakuwa na triclosan inayoua backteria, nk.

Pia zipo tafiti zinazodai kuwa dawa ya meno inaweza kupunguza nguvu za kiume kwa maana ya kutokuwa na erection imara.

Tafiti hizo zinadai kuwa bakteria walioko mdomoni wanazalisha nitric oxide ambayo ni nyeti sana kuimarisha erection.

Hivyo, dawa za meno zenye triclosan zinaua hao bakteria na hivyo kupunguza usalishaji wa nitric oxide.

Hata hivyo, haina maana kuwa wanaume wasizingatie usafi wa midomo na meno yao, bali kama wana-mind sana watafute njia mbadala ya kuosha midomo na meno yao bila kutumia za dawa za meno.
 
Pia husafisha taa za gari zilizofifia, paka kidogo kidogo kwenye taa isubiri kama dakika tano ikauke, chukue vimaji kidogo na kitambaa au mswaki uliotumika sugua taratibu hadi litoke povu, chukua maji masafi ondoa like povu la ile dawa utashuhudia muujiza uliofanywa na ile dawa.

Dawa ya meno pia husaidia kuondoa mikwaruzo kwenye CD. weka kidogo kwenye pamba then sugua taratibu in circular motion.

Ndiyo maana wapo wanaodai kuwa dawa za meno zinaweza kusababisha cancer kwa sababu nyingine zina kitu inaitwa sodium lauryl sulfate ambayo inapatikana pia kwenye shampoo na products nyingine za kufanyia usafi.

Zinduna anaposema kuwa dawa za meno zinaweza kusafisha vipuli, michoro ya watoto ukutani, kusafisha kucha na kuondoa mabaka kwenye meza na sakafu hakukosea kwa sababu zina sodium lauryl sulfate.

Inadaiwa kuwa sodium lauryl sulfate yenyewe haisababishi cancer, bali pale tuu inapojichanganya na kemikali nyingine kama carcinogen (ile ambayo inafanya usikie mdomo wako ukiwa fresh baada ya kupiga mswaki).

Kama ulisoma ule uzi wangu wa Colgate Total na cancer utajua madhara ya carcinogen: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/707605-colgate-total-ni-salama-au-inasababisha-kansa.html

Pia zamani makampuni yalikuwa yanaweka chloroform kwenye dawa za meno kabla ya kupigwa marufuku kufanya hivyo. Hata hivyo, inadaiwa kuwa makampuni haya bado yanaweka hii kitu kwenye hizo dawa lakini kiana kupitia triclosan!

Tafiti zinadai kuwa triclosan inavunjwavunjwa kwa njia za kikemikali na kuwa chloroform pale inapokutanishwa na chlorine kupitia maji.

Dents zozote zikiingia katika female wombs zina madhara makubwa sana ...usithubutu

Chloroform inasababisha wanyama kuzaa viumbe wenye ulemavu. Kwa binadamu tafiti zinadai kuwa chloroform inasababisha cancer ya ini.

But who knows, pamoja na utamu aliosema watu8, labda dawa ya meno ikiwekwa ndani ya kipochi manyoya na kufanikiwa kuingia mpaka sehemu ya uzazi inaweza kumfanya mwanamke ajifungue mtoto mlemavu?

Kumbuka utawala ya Hitler chini ya NAZI na Dkt Joseph Mengele walikuwa wanatumia chloroform kuua watu mara moja kwa kuidunga kwenye moyo: soma Medical Killing and the Psychology of Genocide: The NAZI Doctors by R.J. Lifton
 
Da! Aya Kweli maajabu kama ni Kweli lkn.

Wala siyo maajabu bali ni wewe kutoshughulisha ubongo wako.

Niambie unaponunua dawa ya meno huwa unasoma ingredients zake?

Unazijua hizo ingridients au ulishawahi hata kuzi-google ujue faida na madhara yake?
 
Mwili mzima sio sehem za siri ivoo....ni mwilini inasafisha ngozi vizuri na ina faida hiyo tunayongelea pia so unapata faida 2 in 1 lol

Faida mbili? lol.

Ulishawahi kusuguliwa na kuzipata hizo faida?

Halafu hiyo speed inaongezeka kivipi in terms ya kusuguliwa?

Ila mafuta ya karafuu yako strong sana na ukiyapaka mwilini bila kuya-dilute ni hatareeeee.
 
Faida mbili? lol.

Ulishawahi kusuguliwa na kuzipata hizo faida?

Halafu hiyo speed inaongezeka kivipi in terms ya kusuguliwa?

Ila mafuta ya karafuu yako strong sana na ukiyapaka mwilini bila kuya-dilute ni hatareeeee.

Samahani sitaweza jibu haya maswali
 
Back
Top Bottom