Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,943
- 808
Pia husafisha taa za gari zilizofifia, paka kidogo kidogo kwenye taa isubiri kama dakika tano ikauke, chukue vimaji kidogo na kitambaa au mswaki uliotumika sugua taratibu hadi litoke povu, chukua maji masafi ondoa like povu la ile dawa utashuhudia muujiza uliofanywa na ile dawa.