MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,710
- 1,655
Kama ilivyozoeleka ..hao Wadachi wakitoa Grant basi hapo hakuna ulaji wa maana kwa makampuni Watz na wale wa 10% Miundombinu! Mtu yuko tayari kuliko asipate hapo kitu basi na daraja lisijengwe!
Kwa kifupi ni kukosa tu uzalendo na kuweka kwanza maslahi binafsi mbele!
Maana sasa miaka zaidi ya 15 kweli Tz tunashindwa kufikia maamuzi jambo dogo hivi.. je makubwa tutaweza?
Kwa kifupi ni kukosa tu uzalendo na kuweka kwanza maslahi binafsi mbele!
Maana sasa miaka zaidi ya 15 kweli Tz tunashindwa kufikia maamuzi jambo dogo hivi.. je makubwa tutaweza?