Maajabu ya bongo movie..

Maajabu ya bongo movie..

mm huwa naona aibu kuangalia, kuna cku nliona matangazo ya movi ya. kibongo inaitw taksi driver nkajua itakuwa bonge la muvi, nkaenda kuazima, mweee! najuuta hata cjarudia tena mm ni teja wa hollywood.

Duuuh pole sanaaaaaaa hii ndo bongo
 
HATIMAYE YATIMIA: Bongo movie ya 'MAISHA NA SIASA' kuonyeshwa kwenye cinema halls za MLIMANI CITY (NEW CENTURY CINEMAS) Tarehe 21/10/2015. Bongo movie oyeeeee..! mabadiliko oyee..!!!!
 
1.Jambazi anavua viatu anapovamia nyumbani kwa mtu.

2.Mtu anapigwa risasi mguuni anatoka damu mdomoni

3.Mtu anatoka kulala huku amepaka lipstick na make-up

4.Mlinzi wa geti lazima awe zezeta.

5.Itachukua dadaki 20 mtu kuwasha gari na kuondoka nyumbani(wataonyesha matairi,seat zote,side mirror etc)

6.Jambazi lazima avae koti jeusi refu na miwani nyeusi na.

7.Ikitokea wapenzi wakagombana watavunja glass tu sijawahi kuona mtu anavunja TV.

8.Mtu anashuka kwenye gari amevaa shati la njano akifika ndani utamuona kavaa jeusi (sijui kabadilisha saa ngapi)

9.Ray anakumbuka miaka kumi iliyopita halafu anaonekana mweupe badala ya mweusi.

10.Mtu anapigwa risasi part one,anakufa part two.
 
Action movies ndio balaa, mtu akipigwa kaanguka anasubiliwa ainuke ili waendelee kupigana na wanapiga tumboni tu. Za kichawi ndio usiseme mlemavu anatafutiwa suruali pana na mguu unaonakana umefungwa na kamba.
 
unaangalia muvi unaona kivuli cha camera man na director...mtu anarushiwa risasi anajikinga na kiti cha plastiki na hakitobnki wala kuonekana kimeguswa...wako hovyo hovyo mno
Wabongo kwa movies tuko nyuma sana.
 
Back
Top Bottom