Maajabu ya bongo movie..

Maajabu ya bongo movie..

Action movies ndio balaa, mtu akipigwa kaanguka anasubiliwa ainuke ili waendelee kupigana na wanapiga tumboni tu. Za kichawi ndio usiseme mlemavu anatafutiwa suruali pana na mguu unaonakana umefungwa na kamba.
Mkuu umenichekesha sana,kweli anasubiriwa ainuke
 
aisee mmejua kunichekesha humu ndani leo, siangaliagi hizo muvi hata kidogo, yani i dnt dare ila the only bongo muvi nnayokumbuka kuiona ni ile ya kwanza kabisa ilikuwa inaitwa girlfriend waliigiza kina crazy gk, Ay, Monalisa, TID na mama mmoja hivi alikuwaga mtangazaji wa ITVsasa sijui ni utoto au vipi mana niliipenda balaa mama alikuwa akiondoka tu me nnayo, ila nazani nikiiangalia sasahivi naweza ona hayo mapungufu mnayosema ila zile muvi jaman uswahilini huwambii kitu kuna hadi vibanda vya kuonyesha hizo muvi na vinajaa hatari
 
Back
Top Bottom