Maajabu ya bongo movie..

Leo hii bongo muvi wanalalamika wamekosa soko na muvi za njee ndo zinaharibu soko lakini wamesahau kitu kimoja kinaitwa uwekezaji leo hii bongo fleva mtu anawekeza zaidi ya M 30 au 40 kwa video ya dk 4 mpaka 3 kaweka dhamira lakini awa ndugu zetu bongo muvi vituko mtupu, haiwezekani muvi ya saa zima uwekeze M 10 utgemee upate kitu kizuri, muangalie mmejikwa wapi mnyanyuke mtngenezee kazi nzuri mchawi hayupo kariako
 
Wanamlalamikia et c.t.vu nyerere, sjui mmliki wa tv na radio et na aliekua waziri hapo zaman... wameshndwa kujua kua mchawi wao n wao wenyewe kukosa ubunifu na kukewa sifa za kijinga
 
Leo hii bongo muvi wanalalamika wamekosa soko na muvi za njee ndo zinaharibu soko lakini wamesahau kitu kimoja kinaitwa uwekezaji leo hii bongo fleva mtu anawekeza zaidi ya M 30 au 40 kwa video ya dk 4 mpaka 3 kaweka dhamira lakini awa ndugu zetu bongo muvi vituko mtupu, haiwezekani muvi ya saa zima uwekeze M 10 utgemee upate kitu kizuri, muangalie mmejikwa wapi mnyanyuke mtngenezee kazi nzuri mchawi hayupo kariako
Mr junior hawa jamaa wana mapungufu mengi sana na hawajielewi kabisa:- utunzi wao ni mbovu kupita kiasi filamu hazina maudhui kabisa.utaona wanaigiza vitu ambavyo havina uhalisia wa maisha ya kiafrika /kitanzania wanaigiza upuuuzi wa kwao wanao ujua.technologia pia imewaacha nyuma kabisa kabisaaaa yaaani ngoja watengeneze zombie ndio utacheka mpaka basi.full salakasi yaaani ni ujinga mtupu. Hazina maadili wala huwezi ziangalia Na familia ni ushenzi mtupu. Sasa yote Tisa njoo katika subtitles ndio utacheka kiingereza nikibovu balaaa
 
kanumba alikufa na sanaa yake maana aliitoa chimbo akaiweka kwenye ramani watu wakaanza kuielewa lakini watu alio waachia walijiaminisha kupitia kivuli cha marehemu watafika mbali ni upuuzi awa jamaa kweli wamekosa creativity utakuta director mwenyewe, location manager mwenyewe, script mwenyew unategemea nin?
 
Bongo muvi waache kujikomba kwenye matako ya wanasiasa bas,Kanumba akujionyesha kua yuko upande gani ndio maana tulipenda kazi zake.Kwa mfano Baada ya kifo cha kanumba mimi binafsi nilimpenda sana JB baada ya kujikita kwenye siasa sitaki kuona muvi yake hata nikipewa bure na jirani yangu,sasa mbaya zaidi nilipowaona nyuma ya BASHITELIZM! Nasema sitaki hata nikipewa bure.
 
Movie wanaigiza tu wahuni wahuni we unafikiri ubunifu utatoka wapi wadada waniagiza ili waonekane unategemea nn
 
Back
Top Bottom