Maajabu ya bongo movie..

Maajabu ya bongo movie..

1.Jambazi anavua viatu anapovamia nyumbani kwa mtu.

2.Mtu anapigwa risasi mguuni anatoka damu mdomoni

3.Mtu anatoka kulala huku amepaka lipstick na make-up

4.Mlinzi wa geti lazima awe zezeta.

5.Itachukua dadaki 20 mtu kuwasha gari na kuondoka nyumbani(wataonyesha matairi,seat zote,side mirror etc)

6.Jambazi lazima avae koti jeusi refu na miwani nyeusi na.

7.Ikitokea wapenzi wakagombana watavunja glass tu sijawahi kuona mtu anavunja TV.

8.Mtu anashuka kwenye gari amevaa shati la njano akifika ndani utamuona kavaa jeusi (sijui kabadilisha saa ngapi)

9.Mtu anapigwa risasi part one,anakufa part two.
Bongo movie wanapika pombe ongeongezea namb
10.Jini likiwa linaktsha barabarani lazima aanglie magar kushot n kulia kuhakiki isalam lam upo kisha avuke.
 
Kuna ktu k1 tu ambacho huwa knanfanya kuchek bongo muv,kuangalia watoto wa nguvu wakiwa kene pamba za kjanja
 
Back
Top Bottom