Maajabu ya Baharini - Nilikutana na Kuongea na Majini

Aisee! Jiko la mafuta ya taa mkipigwa na wimbi dogo tu lazima mafuta yamwagike
Nikweli kabisa. Unajua kwenye tafiti hizi tunakutana na mambo mengi mno. Tena ukienda kuwatembelea hawa jamaa utawahurumia sana. Wanapata taabu sana katika shughuli za uvuvi.
 
Mkuu unahisi humu JF kuna mwanamke anayeweza kumzidi uzuri Zuhura? Hasa ktk suala la chuchu?
Hilo suala ni gumu kidogo maana ni wachache tu nawafahamu humu JF.
Kuna watoto wanne wa Jf nimewahi kuwachapa nao. Mmoja alikuwa vizuri kiasi.
Tukiongelea issue ya Zuhura, hiyo ni namba nyingine. Ule moto nilioupata sijawahi kuupata popote. Unaweza ukapagawa kabisa siyo siri.

WALE WATOTO WA JF MMOJA NILIMPIGA NAO KWENYE HOTEL MOJA ILIYOPO SINZA. KITANDA KILIJAA BAHARI.
Akiona ujumbe huu atajua.
 
Hahaaaaaaaah

Mtafiti maswali yangu mengine usiyajibu yatakuponza, utakosa pa kupigia mbizi.
 
Niulize tu yale yaliyo ndani ya uwezo wangu nitayajibu. Ila siwezi kuwataja wanawake wa JF niliotoka nao.
Kuna mada ulizungumzia viumbe Jana/juzi, unahisi vile vilikuwa ni viumbe gani? Je ulivichukua vile vijiwe?
 
Kuna mada ulizungumzia viumbe Jana/juzi, unahisi vile vilikuwa ni viumbe gani? Je ulivichukua vile vijiwe?
Ndio maana niliweka humu ili ku-share experience. Huenda mimi siyo wa kwanza kuwaona hao viumbe.
Vile vijiwe ni vya kawaida tu. But interesting issue ni yale maumbo yaliyochorwa. Huenda kuna encoded message.
 
Mlipiga picha yale maumbo kwa matumizi ya baadae? Mkuu usinichoke
 
Mtafiti...naomba kama kuna nafasi ya kazi...Hata kukubebea mabegi yako pindi tunapokua kwenye tafiti. Niko interested..😊
Karibu ndugu. Nitakulipa sh. Ngapi kwa mwezi. Maximum ninaweza kukulipa 3,000,000 per month take home.
 
Back
Top Bottom