Maajabu ya Baharini - Nilikutana na Kuongea na Majini

Maajabu ya Baharini - Nilikutana na Kuongea na Majini

Nimekutapeli nini ndugu yangu. Yaani kuelezea utafiti wangu imekuwa utapeli. Hebu jaribu na wewe kufanya utafiti huu. Utakuja uniambie.
Nyambaff zako unafikiri watu wajinga hapa ..Humtapeli MTU hapa eti umefanya utafiti
Utafiti unaujua wewe? Tapeli mkubwa
 
Tafiti za namna hii wachache sana huwa wanaweza maana zinahatarisha maisha. Shukuruni kwakuwa bado nipo. Nitawapatia siri nyingi.
 
Mm nadhan ungeenda kwenye magazeti yale ya Udaku, ukaomba kurasa ili uwe unatoa hizi simulizi zako unazoziita za ukwel,.

Maana umetumia gharama kuzifanya, why unatoa bure?.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeyumba. Huwezi tapeli MTU hapa na tunakuripoti kwa mods upigwe life ban.Nyie ndio mnao ichafua jf
Kwanini unaogopa sana. Utafiti unapingwa kwa utafiti. Wewe umefanya utafiti upi!? Nimekwambia rahisi tu. Nenda kwa wavuvi wakupeleke na wewe ufanye utafiti uje kutusimulia.

Au ndugu nimegusa maslahi yako!?
 
Back
Top Bottom