Geranimo E K I A
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,254
- 5,392
Hahahaha aiseeeMkuu usimpe cheo ambacho hana wala hana uchawi wowote ni tapeli huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha aiseeeMkuu usimpe cheo ambacho hana wala hana uchawi wowote ni tapeli huyo
Nitaanza kuweka ushahidi baadae mtaona.
Vipi huyo Zuhura alikuwa bikira mkuu au nae ndo kama baadhi ya mademu wetu wa jf wameshasuguliwa mpaka k imekuwa na sigda na kama ni hivyo bwawa lake usipime maana nasikia majini kama tembo sasa wewe na kibamia chako ilikuwaje?Ndugu wanaJF, Katika mizunguko yangu ya kufanya Tafiti mwaka juzi 2017 niliamua kuanza kufanya Tafiti za Baharini.
Kusema kweli duniani kuna maajabu mengi sana.
Ilikuwa ni mwezi wa Tano nilikutana na mzee Nasoro Hassan, mzee aliyebobea katika uvuvi. Nilimuomba tutumie mashua yake kusafiri kwenda bahari ya mbali. Mzee aliniambia yupo tayari endapo nitampatia sh. 1,000,000. Nilimpatia Sh. 500,000 kwamba tukirudi nitamkamilishia ile iliyobaki.
Mzee alichukua vijana wake watatu, yeye na mimi tukawa watu watano. Tulifungasha mizigo yaani chakula, shuka na mavazi mbalimbali. Muda wa saa kumi na mbili jioni tulianza safari kwa kutumia mashua yake.
Tulisafiri usiku mzima mpaka kesho yake asubuhi tulikuwa tumo baharini. Jua lilichomoza, hakukua na dalili yoyote ya mtu. Vijana wake waliwasha moto ndani ya mashua hiyo na kuchemsha chai. Siku hiyo tulisafiri mpaka jioni hivi tulifika kwenye kisiwa kidogo tulitia nanga hapo.
Wakaniambia mahali hapa ni salama, wenyewe wanaingia baharini kuvua kisha watarudi kunichukua. Bahari inatisha asikuambie mtu. Hofu ilinijaa sana, ila nilipiga moyo konde na kusema kama kufa na nife siogopi kitu. Maji nimeyavulia nguo sinabudi kuyaoga.
Nililala hapo na usingizi wa mang'amu ng'amu. Yapa kama saa nane hivi za usiku, nilikurupuka kutoka usingizini. Harufu nzuri ya marashi niliihisi huku hali ya hewa ikibadilika. Nywele zangu zilikuwa kama zinajikusanya, mwili ukiwa kama umemwagiwa barafu. Niligeuka kuangalia nyuma. Nilikutana uso kwa uso na mwanamke mrembo sana. Akaniita jina langu, nilishituka sana na kujikuta natetemeka. Alikuwa anaongea kiswahili safi na akasema yeye anaitwa Zuhura kwa Kingereza Venus.
Aliniambie nisiogope maana yeye hana nia mbaya na mimi. Akasema amenipenda na akasema yupo tayari twende naye nyumbani kwao.
WanaJF mwanamke huyo alikuwa mzuri sana, alikuwa anavutia mno, sauti yake nyororo. Alinigusa kwenye mikono yangu. Mwili wangu ulisisimka. Si unajua mimi ni mwanaume kamili. Alivua nguo zake, yaani mtoto yule alikuwa mlaini sana hana hata aina yoyote ya scratch.
Sikupoteza muda nilifanya mambo. Nilipiga mzigo, nilipiga mzigo. Yaani alikuwa wa moto sana na kila kitu kipo poa. Nilishika matiti yake yalikuwa saa sita. Baadae akaniambia asante.
Baadae tulipiga stori nyingi, alinieleza namna kwao wanavyoishi vyakula wanvyokula.
Baadae aliondoka na kuniambia atakuja tena maana amenipenda.
kama ulienda kwao c ungebaki huko huko, huku ulirudia nn, hatukutaki aseee!!True stori. Wewe jaribu kufanya Tafiti za baharini. Kuna mambo mengi nitawaeleza humu maana nilienda mpaka kwao na kuona maisha ya majini wanavyoishi.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji25][emoji25][emoji25]Duh umelipia milioni kwenda kuto**a jini...!
Ongeza tangawizi baba .....
sisi wape wa kwenuTafiti za namna hii wachache sana huwa wanaweza maana zinahatarisha maisha. Shukuruni kwakuwa bado nipo. Nitawapatia siri nyingi.
Siyo bikra lakini imebana kinoma. Nilikuwa napiga kwenye kuta na sauti shwa, shwa shwa inasikika.Vipi huyo Zuhura alikuwa bikira mkuu au nae ndo kama baadhi ya mademu wetu wa jf wameshasuguliwa mpaka k imekuwa na sigda na kama ni hivyo bwawa lake usipime maana nasikia majini kama tembo sasa wewe na kibamia chako ilikuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewe mwananchi, usikubari !!! Nasema usikubari kutapeliwa, hakikisha namba kabla hufanya muamala wako√√√[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni Tapeli
Wana jf kuweni makini sana na huyu mtoa mada. Ni tapeli huyu ..Msiseme hamkuambiwa
Ukaamua kuacha kufanya tafiti ukajiingiza kwenye ngono na majini....!! Na Mzee uliyemkodi akaishia kwenda kuvua samaki!! Aaagh Mpwa bhana, haya asante kwa chai ya mchanaKatika mizunguko yangu ya kufanya Tafiti mwaka juzi 2017 niliamua kuanza kufanya Tafiti za Baharini.
Ndugu utamaduni wao na wetu ni tofauti sana. Nitawaambia kwanini nilikataa kukaa kwao. Maana kulikuwa na ugomvi mkubwa katika ya Zuhura na mdogo wake Zubeda.kama ulienda kwao c ungebaki huko huko, huku ulirudia nn, hatukutaki aseee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utafti wa kulala na kuamka na kisha unackia udi una gegeda, tiari utafti umekamilika!!Kwanini unaogopa sana. Utafiti unapingwa kwa utafiti. Wewe umefanya utafiti upi!? Nimekwambia rahisi tu. Nenda kwa wavuvi wakupeleke na wewe ufanye utafiti uje kutusimulia.
Au ndugu nimegusa maslahi yako!?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu utamaduni wao na wetu ni tofauti sana. Nitawaambia kwanini nilikataa kukaa kwao. Maana kulikuwa na ugomvi mkubwa katika ya Zuhura na mdogo wake Zubeda.
Yaani ni stori ndefu sana nikianza kueleza kila kitu mtashindwa hata kusoma. Mimi nasubiri maswali toka kwenu niwafafanulie kwa summary.Ukaamua kuacha kufanya tafiti ukajiingiza kwenye ngono na majini....!! Na Mzee uliyemkodi akaishia kwenda kuvua samaki!! Aaagh Mpwa bhana, haya asante kwa chai ya mchana
Kwa hiyo lengo la post yako ni kuulizwa maswali kutokana na tafiti yako??Yaani ni stori ndefu sana nikianza kueleza kila kitu mtashindwa hata kusoma. Mimi nasubiri maswali toka kwenu niwafafanulie kwa summary.
Lengo la thread yangu ni kutoa summary ya utafiti wangu.Kwa hiyo lengo la post yako ni kuulizwa maswali kutokana na tafiti yako??
.