Maajabu ya Baharini - Nilikutana na Kuongea na Majini

Ndugu utamaduni wao na wetu ni tofauti sana. Nitawaambia kwanini nilikataa kukaa kwao. Maana kulikuwa na ugomvi mkubwa katika ya Zuhura na mdogo wake Zubeda.
[emoji23][emoji1787][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji23][emoji1787]Nimevumioia kote ila hapa umenfurahisha,
X wangu Zubeda ana dadake zuhura na wana ka uyomvi sa sijui ndo hawa[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila siku ww na tafit tu mara nliona mbuzi wana tumia smartphone achaga bhangii kjanaa
 
Ninachofahamu ni kwamba kama mnasafiri mkiwa kwenye boti zinazosafirisha abiria na mizigo kwa kipindi cha nyuma(sijui kwa sasa hivi). Kama mkifika kwenye bahari kuu usistaajabu miongoni mwa abiria akisema " nimeshafika nataka kushuka pamoja na mizigo yangu"
 
Bahari inamambo mengi
 
Ndugu wanaJF, Katika mizunguko yangu ya kufanya Tafiti mwaka juzi 2017 niliamua kuanza kufanya Tafiti za Baharini.
Kusema kweli duniani kuna maajabu mengi sana.
Ilikuwa ni mwezi wa Tano nilikutana na mzee Nasoro Hassan, mzee aliyebobea katika uvuvi. Nilimuomba tutumie mashua yake kusafiri kwenda bahari ya mbali. Mzee aliniambia yupo tayari endapo nitampatia sh. 1,000,000. Nilimpatia Sh. 500,000 kwamba tukirudi nitamkamilishia ile iliyobaki.

Mzee alichukua vijana wake watatu, yeye na mimi tukawa watu watano. Tulifungasha mizigo yaani chakula, shuka na mavazi mbalimbali. Muda wa saa kumi na mbili jioni tulianza safari kwa kutumia mashua yake.

Tulisafiri usiku mzima mpaka kesho yake asubuhi tulikuwa tumo baharini. Jua lilichomoza, hakukua na dalili yoyote ya mtu. Vijana wake waliwasha moto ndani ya mashua hiyo na kuchemsha chai. Siku hiyo tulisafiri mpaka jioni hivi tulifika kwenye kisiwa kidogo tulitia nanga hapo.

Wakaniambia mahali hapa ni salama, wenyewe wanaingia baharini kuvua kisha watarudi kunichukua. Bahari inatisha asikuambie mtu. Hofu ilinijaa sana, ila nilipiga moyo konde na kusema kama kufa na nife siogopi kitu. Maji nimeyavulia nguo sinabudi kuyaoga.

Nililala hapo na usingizi wa mang'amu ng'amu. Yapa kama saa nane hivi za usiku, nilikurupuka kutoka usingizini. Harufu nzuri ya marashi niliihisi huku hali ya hewa ikibadilika. Nywele zangu zilikuwa kama zinajikusanya, mwili ukiwa kama umemwagiwa barafu. Niligeuka kuangalia nyuma. Nilikutana uso kwa uso na mwanamke mrembo sana. Akaniita jina langu, nilishituka sana na kujikuta natetemeka. Alikuwa anaongea kiswahili safi na akasema yeye anaitwa Zuhura kwa Kingereza Venus.

Aliniambie nisiogope maana yeye hana nia mbaya na mimi. Akasema amenipenda na akasema yupo tayari twende naye nyumbani kwao.

WanaJF mwanamke huyo alikuwa mzuri sana, alikuwa anavutia mno, sauti yake nyororo. Alinigusa kwenye mikono yangu. Mwili wangu ulisisimka. Si unajua mimi ni mwanaume kamili. Alivua nguo zake, yaani mtoto yule alikuwa mlaini sana hana hata aina yoyote ya scratch.

Sikupoteza muda nilifanya mambo. Nilipiga mzigo, nilipiga mzigo. Yaani alikuwa wa moto sana na kila kitu kipo poa. Nilishika matiti yake yalikuwa saa sita. Baadae akaniambia asante.

Baadae tulipiga stori nyingi, alinieleza namna kwao wanavyoishi vyakula wanvyokula.
Baadae aliondoka na kuniambia atakuja tena maana amenipenda.
AAAH, WASHAMALIZA MITIHANI YA CHUO WANAANZA KUSUMBUA TENA, BORA VYUO VIFUNGULIWE
 
Hizi ndoto za kushiba wali maharage kwa shemeji.

Wenzako wanapiga wakina Beyonce,Rihana na Ciara wakiwa ndotoni wewe unahangahika na jini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiko la mafuta ya taa. Kuhusu location. Ndugu yangu bahari ni kubwa kuna wakati huwezi hata kufahamu nashariki au magharibi mpaka uone jua.
Nitatoa taarifa nyingi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwenye "kuhusu location" we jamaa acha uongo bana eti mpaka jua wakati upepo wataalamu wanajua unavumaje.. sasa kama ulitumia mashua umeshindwa vipi kujua location?? TAPELI WEWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!
Wenyewe waliniacha mida ya jioni jua likizama. Zuhura tulikutana naye usiku wa manane.
Kwakweli tulikuwa pamoja kama masaa mawili matatu hivi.
Jina la kisiwa hicho waliniambia kinaitwa mkokondui.
Nitaendelea kujibu maswali yoyote. Nipo tayari.
Masaa mawili au matatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilipokuwa kwenye investigation course niliambiwa ukina mtu kaweka neno "kama" huyo baba tandika, vunja mpaka akupe muda kamili maana neno "kama" linasimama baada ya "uongo"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu utamaduni wao na wetu ni tofauti sana. Nitawaambia kwanini nilikataa kukaa kwao. Maana kulikuwa na ugomvi mkubwa katika ya Zuhura na mdogo wake Zubeda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa mala mlipomaliza akaondoka.. now unasema ulikataa kukaa kwao (wakati kwenye maelezo ukifika kwao) afu TAPELI mmekutana saa 8 (ukasema baada ya "kama masaa mawili au matatu mkamaliza") sasa tabia za kwao umejuaje hahahah mods msaaidie uwaandishi wa kutunga huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzoe

MZOEFU KTK NN?? AU UMEPENDEZWA NA STORY YA RAFIKI YAKO,MBONA KAMA UNAMTETEA, MLIANDIKA WOTE NINI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina maana hiyo, ila nikwamba kwa sasa vyuo vingi ndo wapo kwenye kipindi cha mitihan(UE)
,,, nkahisi labda yeye ni lecturer/assistant lecturer/dean mstaafu maybe ana uzoefu ktk haya maswala na taarifa/ updates kuhusu likizo na mda wa masomo kwa wanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom