walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,851
- 5,697
Mimi kwa kweli nimebahatika kuonana na majini. Nilienda kutembelea kwao na Zuhura. Wapo wazuri na wapo ambao sio wazuri.Hivi huwa jini mbaya ama kibonge kama mimi?
Wote wanakuwaga wazuri tu?
Nipo tayari kuulizwa maswali. Ndicho ninachokisubiri.Jana nilikusapot ila leo umekuja na janga jingine we jamaa ni muongo sasa, turuhusu tukuulize maswali kupitia hii hadithi yako uone utakavyo tahayari
Ulitumia muda gani kumt**a zuhura?Nipo tayari kuulizwa maswali. Ndicho ninachokisubiri.
Unafanya utafiti na jiko la mafuta ya taa baharini ndani ya mtumbwi huku umeweza kulipa Tsh 1,000,000 milioni moja ndani ya siku chache!Jiko la mafuta ya taa. Kuhusu location. Ndugu yangu bahari ni kubwa kuna wakati huwezi hata kufahamu nashariki au magharibi mpaka uone jua.
Nitatoa taarifa nyingi tu.
Kuna uzi mwingine wa kukutana na viumbe vya ajabu huko Iringa,nadhani angeanja na Hadithi Hadithi Uwongo njoo utamu koleaTapeli huyo mkuu kaanzisha Uzi wa Mali za wajerumani watu wamemshitukia ghafla kaibuka na Uzi mwingine.
Duh!!!Ulitumia muda gani kumt**a zuhura?
Tafiti yako ulitumia muda gani kuikamilisha? Kwa sababu umesema wenzako walikuacha wakaenda kuvua ila mtafiti wetu wewe ulitumia muda huo kulala na kuto**a,
Unaweza kututajia jina la hicho kisiwa?
Huo ushauri niliwapatia. Na tayari kwa sasa wanatumia mtungi wa gas.Unafanya utafiti na jiko la mafuta ya taa baharini ndani ya mtumbwi huku umeweza kulipa Tsh 1,000,000 milioni moja ndani ya siku chache!
Kwani ulishindwa kununua kamtungi ka gesi ka Tsh 50,000 kaka?
Au si ungekodi mtungi wa mtu ujaze tu gas?
Nadiriki kuamini wewe ni tapeli kweli.
Aisee! Jiko la mafuta ya taa mkipigwa na wimbi dogo tu lazima mafuta yamwagikeHuo ushauri niliwapatia. Na tayari kwa sasa wanatumia mtungi wa gas.