Kama mimi ni kafiri huo ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Nyie makafiri mna macho lakini hamuoni, mna masikio lakini hamsikii. Ila kafiri ni kafiri tu
Ukishaona hivyo tu ujue huyo Allah hayupo wanalazimisha tu awepo.Wanatumia nguvu kubwa kumpambania huyo Allah Kwa vitu hata ambavyo havina mashiko
Sasa wewe elimu imekusaidia nini mpaka dakika hiiAngalia mikoa iliyojaa waislam, ..
Mtwara,Pwani,Tanga,Lindi.
Kule darasa la 7 ni msomi
....Ujiji, Kigoma..Angalia mikoa iliyojaa waislam, ..
Mtwara,Pwani,Tanga,Lindi.
Kule darasa la 7 ni msomi
We jamaa mwalimu wako alikuwa na kazi sanaUkishaona hivyo tu ujue huyo Allah hayupo wanalazimisha tu awepo.
Picha za kutengeneza hata mtoto wa darasa LA 4 anakuambiaHizi picha za mchongo zipo nyingi.
Ni za kutengenezwa na wafia dini wasio na hoja wanaotegemea kuteka emotions za watu wajinga.
Ona hizi nyingine.
View attachment 3425772
View attachment 3425773
Kama kweli mwalimu wangu alikuwa na kazi sana, huo nao ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.We jamaa mwalimu wako alikuwa na kazi sana
Wewe mpaka sasa huja define maajabu ni nini.Picha za kutengeneza hata mtoto wa darasa LA 4 anakuambia
Elimu imesaidia kuondoa ujinga kama wakoSasa wewe elimu imekusaidia nini mpaka dakika hii
Sasa Allah kutokuwa na mtoto halafu na yesu kuwa Muslim vinahusiana niniElimu imesaidia kuondoa ujinga kama wako
mnasema Allah Hana mtoto wala hazai harafu mnang'ang'ana kuwa yesu alikuwa Muslim!
Kwa hiyo elimu yako ndo imekusaidia kujua kuwa kwa kuwa yesu alikuwa anasema nimetumwa na baba basi yeye ni mtoto aliyezaliwa na Mungu 😃Yesu mwenyewe sasa anawakataa katika kuomba kwake au kutoa maelezo utaskia nimetumwa na Baba,Baba wasamehe hawajui walitendaro,natenda Kwa mapemzi ya Baba nk
Nimegundua wewe ni mbumbumbu hata elimu unayodai unayo hauna 😃Sasa nyie kutokana na kukosa shule mnamini yesu alikuwa Muslim lkn matendo mengi ya yesu hayaendani na Muslim
Sasa hiyo si AI mzee, umeona wapi lami inaishia hivyo ghaflaKwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
View attachment 3425653
Hujawahi kuvaa makobazi we we?Kuvaa kobazi ni upunguani
Tatizo wewe unajifanya mjuaji na kumbe hujui kitu. Ila kuna siku utakuja kujua kumbe ulikua hujui, na utajiona fala kweliKama kweli mwalimu wangu alikuwa na kazi sana, huo nao ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwapo, kila mtu angekuwa na perfect knowledge hata mwalimu asingehitajika.
Hata kama kweli mimi sijui kitu, hilo nalo ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Tatizo wewe unajifanya mjuaji na kumbe hujui kitu. Ila kuna siku utakuja kujua kumbe ulikua hujui, na utajiona fala kweli
Kwa hiyo elimu yako ndo imekusaidia kujua kuwa kwa kuwa yesu alikuwa anasema nimetumwa na baba basi yeye ni mtoto aliyezaliwa na Mungu 😃s