Kwanini Tunafunga Siku ya Ashura?

Kwanini Tunafunga Siku ya Ashura?

MSHUAH

Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
17
Reaction score
126
Kisa cha Siku ya Ashura 🤍

Siku ya Ashura ni siku ambayo Allah alimwokoa Mtume Musa na wana wa Israil kutoka kwa Firauni na jeshi lake. Bahari ilipasuka kwa amri ya Allah, Musa na watu wake wakaokoka, huku Firauni na jeshi lake wakazama.

Mtume Muhammad ﷺ alipofika Madina aliwakuta Wayahudi wanaifunga siku hiyo kwa shukrani kwa Allah. Akasema kuwa Waislamu wana haki zaidi kwa Musa, kisha akaifunga na akawahimiza Waislamu kuifunga.

Ndiyo sababu Waislamu hufunga Ashura kwa kumshukuru Allah na kutafuta malipo makubwa kutoka kwake. 🤍
 
1. Ibrahimu na Musa walikuwepo Duniani mwaka 3000BC.

2. Yesu alikuja Duniani Mwaka 1
Yaani miaka 20026 iliyopita.

3. Mtume mohamed alikuja mwaka 500 yaani miaka 1500 iliyopita

HAKUKUWA NA UISLAMU KABLA YA MOHAMED KUJA DUNIANI.

Ukijua vizuri karenda itakusaidia sana.

UJINGA NI MZIGO.
 
Ni lini hiyo siku ya ashura?
shem , anzisha siku na ww ili wale member wanaokufungulia uzi wa kukupenda wawe wanafunga.

iitwe siku ya Seran wa JF.

😊😊😊😊😊.
Wafunge na pia watume sadaka ya kujiteketeza kwako.
unaweka lipa namba. Ww ni kukusanya zaka. 😊😊😊😊
 
Hujawahi kuwaza ujinga shem! wazo zuri sana! nitalifanyia kazi🤔
 
Kisa cha Siku ya Ashura 🤍

Siku ya Ashura ni siku ambayo Allah alimwokoa Mtume Musa na wana wa Israil kutoka kwa Firauni na jeshi lake. Bahari ilipasuka kwa amri ya Allah, Musa na watu wake wakaokoka, huku Firauni na jeshi lake wakazama.

Mtume Muhammad ﷺ alipofika Madina aliwakuta Wayahudi wanaifunga siku hiyo kwa shukrani kwa Allah. Akasema kuwa Waislamu wana haki zaidi kwa Musa, kisha akaifunga na akawahimiza Waislamu kuifunga.

Ndiyo sababu Waislamu hufunga Ashura kwa kumshukuru Allah na kutafuta malipo makubwa kutoka kwake. 🤍
Mkuu, Allah na mtume walikuwa wavuta bange, kitendo cha allah kudai jua linazama kwenye matope mara kaukata mwezi vipande viwili ni bange zile mkuu.
 
Back
Top Bottom