Maajabu ya Allah yanavyojionyesha hadharani

Maajabu ya Allah yanavyojionyesha hadharani

Nyie makafiri mna macho lakini hamuoni, mna masikio lakini hamsikii. Ila kafiri ni kafiri tu
Kama mimi ni kafiri huo ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwapo kusingekuwa na kafiri.

Umekanusha uwepo wa Mungu bila kujua.

Kwa sababu akili yako finyu.

Ndiyo maana mpaka sasa huja define maajabu ni ni na huju Socratic Method ni nini.

Wewe ni ngumbaru tu.
 
Hii hapa ni ya ibilisi mwenyewe
images (38).jpeg
 
We jamaa mwalimu wako alikuwa na kazi sana
Kama kweli mwalimu wangu alikuwa na kazi sana, huo nao ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwapo, kila mtu angekuwa na perfect knowledge hata mwalimu asingehitajika.
 
Sasa wewe elimu imekusaidia nini mpaka dakika hii
Elimu imesaidia kuondoa ujinga kama wako
mnasema Allah Hana mtoto wala hazai harafu mnang'ang'ana kuwa yesu alikuwa Muslim!
Yesu mwenyewe sasa anawakataa katika kuomba kwake au kutoa maelezo utaskia nimetumwa na Baba,Baba wasamehe hawajui walitendaro,natenda Kwa mapemzi ya Baba nk
Sasa nyie kutokana na kukosa shule mnamini yesu alikuwa Muslim lkn matendo mengi ya yesu hayaendani na Muslim
 
Elimu imesaidia kuondoa ujinga kama wako
mnasema Allah Hana mtoto wala hazai harafu mnang'ang'ana kuwa yesu alikuwa Muslim!
Sasa Allah kutokuwa na mtoto halafu na yesu kuwa Muslim vinahusiana nini
Hapo kati ya mimi na wewe nani mjinga😃😀😄
 
Yesu mwenyewe sasa anawakataa katika kuomba kwake au kutoa maelezo utaskia nimetumwa na Baba,Baba wasamehe hawajui walitendaro,natenda Kwa mapemzi ya Baba nk
Kwa hiyo elimu yako ndo imekusaidia kujua kuwa kwa kuwa yesu alikuwa anasema nimetumwa na baba basi yeye ni mtoto aliyezaliwa na Mungu 😃
 
Kama kweli mwalimu wangu alikuwa na kazi sana, huo nao ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwapo, kila mtu angekuwa na perfect knowledge hata mwalimu asingehitajika.
Tatizo wewe unajifanya mjuaji na kumbe hujui kitu. Ila kuna siku utakuja kujua kumbe ulikua hujui, na utajiona fala kweli
 
Vipi yale maajabu ya Mohammad kupasua mwezi ukawa vipande viwili
 
Tatizo wewe unajifanya mjuaji na kumbe hujui kitu. Ila kuna siku utakuja kujua kumbe ulikua hujui, na utajiona fala kweli
Hata kama kweli mimi sijui kitu, hilo nalo ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwapo, kusingekuwa na kiumbe yeyote asiyejua kitu.

Unakanusha uwapo wa huyo Mungu bila kujua.

Kwa sababu wewe ni ngumbaru tu.
 
Back
Top Bottom