Na wanaaminiHizi picha za mchongo zipo nyingi.
Ni za kutengenezwa na wafia dini wasio na hoja wanaotegemea kuteka emotions za watu wajinga.
Ona hizi nyingine.
View attachment 3425772
View attachment 3425773
Naona mfano wa picha ya kiongozi wa waasi wa RSF wa Sudan akisoma ramani ya vita.Kwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
View attachment 3425653
Sasa kuna maajabu gani hapo kujenga kakipande Ka lami ambalo hata mmbongo anaweza kutengeneza tena kenye muomekano mzuri kuliko hapo 😂 😂 😂 😂 😂Kwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
View attachment 3425653
Sasa masaa 72 unampa nani ?Inawezekana.
Nakupa masaa 72 ulete taarifa kamili
Nimemuuliza maajabu ni nini?Sasa kuna maajabu gani hapo kujenga kakipande Ka lami ambalo hata mmbongo anaweza kutengeneza tena kenye muomekano mzuri kuliko hapo 😂 😂 😂 😂 😂
Allah kaweka lami na kichuguu. Haya ni maajabu makubwa sana.Kwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
View attachment 3425653
Nyie makafiri mna macho lakini hamuoni, mna masikio lakini hamsikii. Ila kafiri ni kafiri tuNimemuuliza maajabu ni nini?
Kashindwa kujibu.
Sina chuki, sanasana ni huruma.Chuki humumiza Zaid anayeihifadhi
Wanatumia nguvu kubwa kumpambania huyo Allah Kwa vitu hata ambavyo havina mashikoNimemuuliza maajabu ni nini?
Kashindwa kujibu.
Ndo jamii ilivyo kurudi nyuma ni ngumu sanaHahahahah!! kivipi sijstoboa