Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,950
- 146,203
Si nje ya mada kwa sababu nimeuliza swali la Socratic Method na inaonekana wewe huelewi Socratic Method ni nini.Hiyo ni Nje ya mada.
Una assume mtu anayeuliza swali anauliza kwa sababu hajui jibu.
Huna uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo.
Huna uwezo wa kufikiri kujua kwamba mtu anaweza kuuliza swali kwa nia ya kujua unavyofikiri wewe.